Ni sahihi kwa Celebrity Niffer Kusema ana "strong army" likiwa ni jibu kwa Waziri Mkuu baada ya maagizo?

K Ni mtaji wake mkubwa hutokuta record za tra maingizo yake
 
Kuna kile kitabu cha 48 laws of power na ile ya kwanza inasema NEVER OUTSHINE YOUR BOSS because it may cause insecurities to your boss

Sasa ndo nimeanza kukielewa Nifa anafikiri influence aliyonayo pengine ni kubwa inaweza kulingana hata na baadhi top executive kama PM kitu ambacho anastahili kufikiri upya

Jambo lile licha ya kuwa ni la kitaifa linaweza kutumika kisiasa on that matter huwez kuchukua credit ya wema wewe wakati serikali inatazama palepale kuondoka na point tatu


Sasa nifa kwa asichokijua anatakiwa pengine asome kitabu hiki kitamsaidia alichokuwa akikifanya waziri mkuu akiamua kuitisha harambee ya kuchangisha pesa hata bilioni moja ingeweza kupatikana ndani ya saa moja mana matajiri makampuni wangechangia kwa kushoboka tumeona mara kadhaa huko nyuma

Narudia tena never OUTSHINE your boss unaweza kupotea kirahisi sana na usiamini. bosses need credit for something they even didn't accomplished
 
Wamteue au wasimteue ila amemdharau Sana Waziri Mkuu.
Waziri Mkuu mwenyewe kajidharaulisha kujiingiza kwenye kamatakamata ya Niffer wakati kuna watu wa level ya Niffer wangeweza ku deal naye.

Hivi, kuna watu wamefunikwa na jengo hatujui watatokaje, Waziri Mkuu mzima anapataje muda wa kuanza kufukuzana na Niffer?
 
Una uelewa finyu sana
 
Kuna namna kiongozi anatakiwa kuwin jamii na kuonekana hata akiongea kwa utulivu neno linasikiwa na kuogopwa na kuheshimiwa hii ni sehemu yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…