Ni sahihi kwa Celebrity Niffer Kusema ana "strong army" likiwa ni jibu kwa Waziri Mkuu baada ya maagizo?

Ni sahihi kwa Celebrity Niffer Kusema ana "strong army" likiwa ni jibu kwa Waziri Mkuu baada ya maagizo?

Ila Binti ana uchu sana wa mafanikio, yeye na boyfriend wake Wana kesi police haya mambo , walichukua mil 64 Kwa wateja kuweka oda za simu na vitu vingine wakawachukulie watu CHINNA, watu wakalipa ila pesa zikapigwa , sijui walipigwaje Sasa, kesi IPO polisi mpaka Leo. So ana kautapeli flani hivi, na muda alifanya biashara na Sasa anenda kufungua mall kunawalakini katika upataji wake wa pesa, mama hata record za huku TRA haioneshi ni mlipa Kodi wa kiwango angalau Cha kati, so it is either anahongwa na kufanya utapeli.

Hawa mabinti kama niffer wanaharibu sana vijana wetu, wakiona life lao wanajua life is that simple kbe behind the scene
K Ni mtaji wake mkubwa hutokuta record za tra maingizo yake
 
Kuna kile kitabu cha 48 laws of power na ile ya kwanza inasema NEVER OUTSHINE YOUR BOSS because it may cause insecurities to your boss

Sasa ndo nimeanza kukielewa Nifa anafikiri influence aliyonayo pengine ni kubwa inaweza kulingana hata na baadhi top executive kama PM kitu ambacho anastahili kufikiri upya

Jambo lile licha ya kuwa ni la kitaifa linaweza kutumika kisiasa on that matter huwez kuchukua credit ya wema wewe wakati serikali inatazama palepale kuondoka na point tatu


Sasa nifa kwa asichokijua anatakiwa pengine asome kitabu hiki kitamsaidia alichokuwa akikifanya waziri mkuu akiamua kuitisha harambee ya kuchangisha pesa hata bilioni moja ingeweza kupatikana ndani ya saa moja mana matajiri makampuni wangechangia kwa kushoboka tumeona mara kadhaa huko nyuma

Narudia tena never OUTSHINE your boss unaweza kupotea kirahisi sana na usiamini. bosses need credit for something they even didn't accomplished
 
Wamteue au wasimteue ila amemdharau Sana Waziri Mkuu.
Waziri Mkuu mwenyewe kajidharaulisha kujiingiza kwenye kamatakamata ya Niffer wakati kuna watu wa level ya Niffer wangeweza ku deal naye.

Hivi, kuna watu wamefunikwa na jengo hatujui watatokaje, Waziri Mkuu mzima anapataje muda wa kuanza kufukuzana na Niffer?
 
mil1-tzmsaadatouturuki.jpg
to jamii forums.jpg
 
Je, Hawa wananchi ambao ni mastar na ma celebrities ambao pia ni wafanya biashara Wana uelewa wowote wa protokali za Kiserikali.

Nimeshangaa Mfanyabiashara mkubwa kabisa mwanamke mwenye mafanikio mengi akiwa amejijengea umaarufu mkubwa kupitia biashara zake, akitoa kauli tata inayoelekea kama ni kumjibu Waziri Mkuu wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania ambaye ni Raia namba tatu baada ya maelekezo mahususi ya kutakiwa kukamatwa kwa Niffer ambaye aliendesha zoezi la Michango Kwa maafa ya Kariakoo kinyume na Sheria ama bila kibali cha ofisi ya Waziri Mkuu inayosimamia majanga na dharura za aina hiyo.

Unaweza Kusoma ujumbe wa Niffer kupitia mtandao wake wa kijamii hapa chini

Una uelewa finyu sana
 
Sipendi kuingilia hilo suala la huyo mwanamke kuchangisha pesa , pia nisingependa kujadili legality ya order ya PM ya kumkamata huyo dada lakini nachojua hiyo anatembeza mbunye kwa watu wenye nguvu pia Majaliwa hajawahi hata siku moja kutoa amri ikatekelezwa haijawahi kutokea. Jamaa huwa anakuwa kama mpiga ramli tu sanasana anataka wamsumbue tu binti wa watu kuzuia akaunti zake mpaka amle.
Kuna namna kiongozi anatakiwa kuwin jamii na kuonekana hata akiongea kwa utulivu neno linasikiwa na kuogopwa na kuheshimiwa hii ni sehemu yoyote
 
Back
Top Bottom