OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Serikali inachelewa kumuonyesha huyu kwamba ipo. Hizi ni dharau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
K Ni mtaji wake mkubwa hutokuta record za tra maingizo yakeIla Binti ana uchu sana wa mafanikio, yeye na boyfriend wake Wana kesi police haya mambo , walichukua mil 64 Kwa wateja kuweka oda za simu na vitu vingine wakawachukulie watu CHINNA, watu wakalipa ila pesa zikapigwa , sijui walipigwaje Sasa, kesi IPO polisi mpaka Leo. So ana kautapeli flani hivi, na muda alifanya biashara na Sasa anenda kufungua mall kunawalakini katika upataji wake wa pesa, mama hata record za huku TRA haioneshi ni mlipa Kodi wa kiwango angalau Cha kati, so it is either anahongwa na kufanya utapeli.
Hawa mabinti kama niffer wanaharibu sana vijana wetu, wakiona life lao wanajua life is that simple kbe behind the scene
Waziri Mkuu mwenyewe kajidharaulisha kujiingiza kwenye kamatakamata ya Niffer wakati kuna watu wa level ya Niffer wangeweza ku deal naye.Wamteue au wasimteue ila amemdharau Sana Waziri Mkuu.
Serikali inachelewa kumuonyesha huyu kwamba ipo. Hizi ni dharau
...the legsStrong army in between
Una uelewa finyu sanaJe, Hawa wananchi ambao ni mastar na ma celebrities ambao pia ni wafanya biashara Wana uelewa wowote wa protokali za Kiserikali.
Nimeshangaa Mfanyabiashara mkubwa kabisa mwanamke mwenye mafanikio mengi akiwa amejijengea umaarufu mkubwa kupitia biashara zake, akitoa kauli tata inayoelekea kama ni kumjibu Waziri Mkuu wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania ambaye ni Raia namba tatu baada ya maelekezo mahususi ya kutakiwa kukamatwa kwa Niffer ambaye aliendesha zoezi la Michango Kwa maafa ya Kariakoo kinyume na Sheria ama bila kibali cha ofisi ya Waziri Mkuu inayosimamia majanga na dharura za aina hiyo.
Unaweza Kusoma ujumbe wa Niffer kupitia mtandao wake wa kijamii hapa chini
Kuna namna kiongozi anatakiwa kuwin jamii na kuonekana hata akiongea kwa utulivu neno linasikiwa na kuogopwa na kuheshimiwa hii ni sehemu yoyoteSipendi kuingilia hilo suala la huyo mwanamke kuchangisha pesa , pia nisingependa kujadili legality ya order ya PM ya kumkamata huyo dada lakini nachojua hiyo anatembeza mbunye kwa watu wenye nguvu pia Majaliwa hajawahi hata siku moja kutoa amri ikatekelezwa haijawahi kutokea. Jamaa huwa anakuwa kama mpiga ramli tu sanasana anataka wamsumbue tu binti wa watu kuzuia akaunti zake mpaka amle.
Wengi Sana huandika hivi,hawajui pa r,l,a,h,hadi unajiuliza wasoma nini huko shule siku hizi,na mabegi yao madaftari mengi,muda mrefu shuleni