Ni sahihi kwa Mwanaume aliyeoa kupika?

Mkeka ulishanchanikiwa huyo mwamba.
 
Ajabu nini sasa, nikijisikia naingia jikoni namkarangizia mke wangu, vingine napatia vingine natoa boko tunachekana siku inaenda.

Hizi kazi nyingine ni wanatusaidia tu, ila kazi yake haswa ni ile tu, mguu bara mguu pwani [emoji23]
 
Yaani wewe unapenda sana chini.... . Jokes Makaveli
 
Ajabu nini sasa, nikijisikia naingia jikoni namkarangizia mke wangu, vingine napatia vingine natoa boko tunachekana siku inaenda.

Hizi kazi nyingine ni wanatusaidia tu, ila kazi yake haswa ni ile tu, mguu bara mguu pwani [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Khaaa!
 
Mwanamke anakuwa ana test dawa zake kama zimeanza kufanya kazi kama bado arudi tena kwa babu yaani mwanamke ukimsaidia kazi siku moja tu basi anaona dezo kila siku atakutest ukiingia king tu umeisha.
Acha kuwadanganya wenzio bwana. Mbona mnataka kufanya maisha yawe magumu!!!
 
Ni sahihi kwa mwanaume anayetaka kuoa kuuliza maswali ya kipumbavu kama hili kwenye thread hii ?
 
Kabisa kabisa mzee mwenzangu. Pika boko lako mle mshibe mkapige kazi[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji1787][emoji1787]

Hivi mfano mimi nimerudi home mapema kuliko mwenzangu, au sijaingia mishe mishe na ni mzima wa afya, mwenzangu kaenda mzigoni kwanini nisipike sasa!! Mapenzi ni kuhurumiana, haya mengine tunaendekeza tu, mie nikijisikia kupika naingia jikoni naharibu haribu akija tunajaza tumbo.
 
Bora mjaze tumbo tu maana hapo hakuna Chakula tena.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti naharibu!
Hayo ndio mapenzi sasa. Hatupaswi kuyafanya mapenzi kuwa mzigo jamani. Tunapaswa kuyafurahia na kutendeana mema.
 
Bora mjaze tumbo tu maana hapo hakuna Chakula tena.
Shida kinywani tu, kikikaa tumboni hakina tabu, uzuri wazungu wamerahisisha mambo, ubwabwa unapikia rice cooker, kuunga mboga hakunipwelepweti, nishajua formula nishakuwa fundi wakutoa masolotojo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti naharibu!
Hayo ndio mapenzi sasa. Hatupaswi kuyafanya mapenzi kuwa mzigo jamani. Tunapaswa kuyafurahia na kutendeana mema.
Eehh.. Naharibu haribu mwenzangu wee, maana siwezi kukarangiza kama anavyokarangizaga mwenyewe mwenye jiko lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…