Ni sahihi kwa Mwanaume aliyeoa kupika?

Mkuu, mimi hua napika na wakati waifu anaangalia tamthilia sebleni kisha nampakulia kabisa na kabla hajaanza kula nahakikisha nimemnawisha kwa maji safi tena yalio chemshwa.
Na saizi ndio nimemaliza kuosha vyombo, nikimaliza ku comment hapa nataka nika deki nyumba...😊
 
Kupika ni kipaji. Mywife hata kama anaumwa haniruhusu kupika.

tena nikijipitish jikoni kwake ananiuliza umekuja kufanya nini huku?
Mimi niko vizuri sana kwenye kupika. Ila hua napika siku nikijisikia, siku hiyo nawaambia wote kaeni pembeni leo napika mimi! Nafyatua kitu cha uhakka mtaa mzima wanaulizana.

Pili kuna aina ya vyakula, mfano kama nimenunua BEBERU langu nataka nile na washkaji siwezi kamwe kumpa wife anichomee!
 
Safi
 
Anavyokusifia Mume wangu unajua kupika na wewe unachekelea??
Jiangalie sana
Kupika ni jadi yangu na hilo haliwezi badilika, alafu sisi tunao pika ndoa zetu unakuta ziko strong hakuzalau wala nini lakini nyie mnao jifanya et siwez mpikia mwanamke sasa ndio mnaendeshwa balaa. Ninavyo ingia jikoni naingia kwa mapenzi yangu nasiendeshwi.
 
Hongera sana. Nomba kujua na Chapati na kacholi unapika pia? Na nazi una kuna?
 
Kwa mfano TU wewe ungekuwa diamond ungeaacha kumkaangia zuchu makuku ndani ya kitchen room ya WCB

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Diamond hana ujinga huo Ndege John.

Yaani akialika msichana kwake ndio hujifanya kujupikilissha tu kama mgombea kwenye Kampeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…