Ni sahihi kwa Mwanaume aliyeoa kupika?

Muda upo mwingi tu. Kwa wengine ni hobbi tena wanapenda kweli.
Wkt ww unawaza muda wanatoa wapi, yeye anawaza akitoka kwenye mihangaiko yake ajilikie nn
Kuna wanaume wanajua kupika vizuri kama Wanawake zetu?
 
Sahihi.
 
Waliokiri kuwa huwa wanapika hakuna aliyekubali kwamba anapika na chapati🤣🤣
Wanaogapa 😂😂😂
Mm huwa napika tena za kusukuma maana sio rahis kupata chapati ya kusukuma yenye radha ninayoitaka kwa wanaouza.

Sijaoa lakini ata nikioa mwanamke akawa hajui kuziandaa nitamfundisha tuwe tunaandaa wote nikiwa na mda. Sipendi vyakula vya kununua
 
Kumbe bado bachelor? Welcome in thr world of no stress
 
Mkuu Sasa ukipika unaishiwa damu?, Mimi nadhani mwanamme aliyeoa sio tu napaswa kupika, Bali pia anapaswa kufua nguo, kuogesha watoto na kufanya shughuli zote za nyumbani ambazo zinafanywa na mwanamke.

Huu ni ukiritimba uliokithiri kwa baadhi ya wanaume wanaoamini kuwa wako juu kuwaliko wa wanawake, Mimi kwangu nafua nguo, naogesha watoto na kupika na pika Ila sijawahi kuona ikiwa nadharauliwa na mke wangu, zaidi ya yote, naagizwa kununua mboga, chumvi, nyanya na kadhalika .

Upendo wangu kwa mke wangu uko pale pale, yeye pia ananipenda na kuniheshimu.

Don't complicate life kijana!!
 
Mkuu sijasema kuna mtu anadharaulika. Soma vizuri uzi wangu.

kumfulia nguo ndio kunamfanya mtu asionekane mkiritimba? maajabu.
 
yote haya ungeyaepuka kama usinge oa

KIJANA USIOE JIFUNZE KUPIKA
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nmecheka km chizi yaan.
 
Lack of exposure, ungekuwa umetoka kidogo na kuiona dunia nje ya mipaka ya Tanzania hili jambo lisingekusumbuwa akili.

Kwanza nakupa challenge ni hotel gani unayoijuwa wewe Chef ni mwanamke?
Bora useme wee.
 
Ahsanteeeeeeeeh.
 
Umeolewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…