Ni sahihi kwa Mwanaume aliyeoa kupika?

Ni sahihi kwa Mwanaume aliyeoa kupika?

Bruh kwamb ukimsaidia mke wako kupika unabadilika jinsia au whats logic behind ya wewe kutokufanya izo kaziiiišŸ¤”šŸ¤”šŸ¤”
Kwenye uzi wangu mbona nimefafanua?

Note: Mwanaume sio msaidizi wa mwanamke.

Wala usifanya jambo ukasema mbele za watu kwamba unamsaidi Mke wako.
 
Hiz din zilituharibu sana maana ndio zilikuja na dhana ya Mwanaume kufanyiwa msaidizi(mwanamke)
Hi kabla hatujaletewa hio dhana ya mwanamke ni msaidizi watu waliishije?

Bora kupika kuna makabira ata mwanamke kwenda kutafta kuni au kupasua kuni ili hali mwanaume upo ndani ni aibu kwa huyo mwanaume.
 
Kabla ya dini kuja ulimwenguni kiumbe chochote cha kiume ni alfa male
 
Tafadhali rudia kusoma tena uzi. Lengo langu liko hapo.
Siiioni ndo maaana nakuuliza paragraph ya pili unauliza swali ambalo wewe unaaamini haitakiwi mwanamume kupika
Baadae unasema mlikubaliana na unataja hayo makubaliano. Sasa bru ayo makubaliano unayoyasema wewe mlikubalina wapi na nan yameandikwa wapi kama kwenye biblia tupe andiko kama ni quruan tupe haya
Mi sijaona logic yk bdo na ntazidii kukuuuliza we logic yako ni niniiii
 
Kabla ya dini kuja ulimwenguni kiumbe chochote cha kiume ni alfa male
Hao alfa male walitafta nyama na kuni na kuwachomea wake zao. Kuni za kuhakikisha wake na watoto wao hawapigwi baridi.
Sasa ww unaejiita alfa male wa sasa kwa kutafta ela tu unajiona ni alfa male?
 
watu wanasema ishi maisha yako usifuate society expectations na baadhi ya watu wanaamua hivyo ila ukweli ni kwamba ni muhimu kufuata jamii maana unaishi humo humo, kuwa culture & social disruptor ina its perks lakin madhara huwepo kibao

sometimes unaweza ukawa unafanya vitu vya hovyo kwa kisingizio cha kusema ā€œi am living my lifeā€ kila kitu kina kiasi narudia ā€œKILA KITU KINA KIASIā€
 
Ndio tukaletewa msaidizi
 
The best comment in this thread
 
Hapana ila tu nawaza huo muda wanaupata wapi? Au wake zao wanapika vyakula visivyo na ladha?
Kwamba yupo busy 24/7? Muda huo huo atakaoupata siku kashinda nyumban kapenda kuingia jikoni aingie tu, mie mume wangu siwez mkatalia kupika.Kuna wanaume wanapenda kupika.
 
Sawa. Anakusaidia
 
watu wanasema ishi maisha yako usifuate society expectations na baadhi ya watu wanaamua hivyo ila ukweli ni kwamba ni muhimu kufuata jamii maana unaishi humo humo, kuwa culture & social disruptor ina its perks lakin madhara huwepo kibao

sometimes unaweza ukawa unafanya vitu vya hovyo kwa kisingizio cha kusema ā€œi am living my lifeā€ kila kitu kina kiasi narudia ā€œKILA KITU KINA KIASIā€
Dumbest comment..
 
Hapa jirani na kijiwe kuna mume anafua nguo za mke, watoto wengine wako sekondari, anapika anamsafisha hata mtoto akijisaidia.

Mungu awatie nguvu wanangu.
 
Back
Top Bottom