Bruh kwamb ukimsaidia mke wako kupika unabadilika jinsia au whats logic behind ya wewe kutokufanya izo kaziiii🤔🤔🤔mfumo dume hapo uko wapi? anyway mfumi dume uko mbinguni, kwa shetani, ulaya na dunia nzima.
Kwenye uzi wangu mbona nimefafanua?Bruh kwamb ukimsaidia mke wako kupika unabadilika jinsia au whats logic behind ya wewe kutokufanya izo kaziiii🤔🤔🤔
Kwaiyo ww logic yako ni ninii sasaaaKwenye uzi wangu mbona nimefafanua?
Note: Mwanaume sio msaidizi wa mwanamke.
Wala usifanya jambo ukasema mbele za watu kwamba unamsaidi Mke wako.
Tafadhali rudia kusoma tena uzi. Lengo langu liko hapo.Kwaiyo ww logic yako ni ninii sasaaa
Hiz din zilituharibu sana maana ndio zilikuja na dhana ya Mwanaume kufanyiwa msaidizi(mwanamke)Kwenye uzi wangu mbona nimefafanua?
Note: Mwanaume sio msaidizi wa mwanamke.
Wala usifanya jambo ukasema mbele za watu kwamba unamsaidi Mke wako.
Kabla ya dini kuja ulimwenguni kiumbe chochote cha kiume ni alfa maleHiz din zilituharibu sana maana ndio zilikuja na dhana ya Mwanaume kufanyiwa msaidizi(mwanamke)
Hi kabla hatujaletewa hio dhana ya mwanamke ni msaidizi watu waliishije?
Bora kupika kuna makabira ata mwanamke kwenda kutafta kuni au kupasua kuni ili hali mwanaume upo ndani ni aibu kwa huyo mwanaume.
Siiioni ndo maaana nakuuliza paragraph ya pili unauliza swali ambalo wewe unaaamini haitakiwi mwanamume kupikaTafadhali rudia kusoma tena uzi. Lengo langu liko hapo.
Hao alfa male walitafta nyama na kuni na kuwachomea wake zao. Kuni za kuhakikisha wake na watoto wao hawapigwi baridi.Kabla ya dini kuja ulimwenguni kiumbe chochote cha kiume ni alfa male
Ndio tukaletewa msaidiziHao alfa male walitafta nyama na kuni na kuwachomea wake zao. Kuni za kuhakikisha wake na watoto wao hawapigwi baridi.
Sasa ww unaejiita alfa male wa sasa kwa kutafta ela tu unajiona ni alfa male?
Safi[emoji106]I always cook for my lovely woman whenever I get the time
The best comment in this threadwatu wanasema ishi maisha yako usifuate society expectations na baadhi ya watu wanaamua hivyo ila ukweli ni kwamba ni muhimu kufuata jamii maana unaishi humo humo, kuwa culture & social disruptor ina its perks lakin madhara huwepo kibao
sometimes unaweza ukawa unafanya vitu vya hovyo kwa kisingizio cha kusema “i am living my life” kila kitu kina kiasi narudia “KILA KITU KINA KIASI”
Kwan wakati huo wanawake walikuwa ni akina nani ? Wazaaji ama walikuwa hawajaumbwa?Ndio tukaletewa msaidizi
Kwamba yupo busy 24/7? Muda huo huo atakaoupata siku kashinda nyumban kapenda kuingia jikoni aingie tu, mie mume wangu siwez mkatalia kupika.Kuna wanaume wanapenda kupika.Hapana ila tu nawaza huo muda wanaupata wapi? Au wake zao wanapika vyakula visivyo na ladha?
Sawa. AnakusaidiaKwamba yupo busy 24/7? Muda huo huo atakaoupata siku kashinda nyumban kapenda kuingia jikoni aingie tu, mie mume wangu siwez mkatalia kupika.Kuna wanaume wanapenda kupika.
wape mwongozo shemejiHakuna ubaya endapo...
Yes, halazimishwi anafanya kwa kupenda mwenyewe siku moja moja.Sawa. Anakusaidia
Dumbest comment..watu wanasema ishi maisha yako usifuate society expectations na baadhi ya watu wanaamua hivyo ila ukweli ni kwamba ni muhimu kufuata jamii maana unaishi humo humo, kuwa culture & social disruptor ina its perks lakin madhara huwepo kibao
sometimes unaweza ukawa unafanya vitu vya hovyo kwa kisingizio cha kusema “i am living my life” kila kitu kina kiasi narudia “KILA KITU KINA KIASI”