Ni sahihi kwa Mwanaume aliyeoa kupika?

Napika Sana tu, its my interest. Shida yako wewe unachukulia maishu kama kazi ya hivyo.
 
Ni kweli kabisa,hayo ndio yalikuwa makubaliano yetu.
 
Sio kazi yake kabisa Nawashauri wanawake ukipata pesa zako zitumie kwa raha zako. Si kazi yako kulipia watoto ada wala kununua Sembe la nyumbani.

Achia wenye majukum yao wafanye.
Na wao Wanawake wakomae na kazi zao yaani kupika,kuogesha watoto,kufua nguo,usafi wa nyumba,Kunyoosha nguo,n.k. ni kazi zao wasije wakatusumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…