OSEFUKANY
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 2,437
- 3,896
Mtafutaji akipata kizuri ale na wenzake ili siku atakapokuwa hana aweze kupata wa kumkaribishaMtafutaji anakula zaidi ili apate nguvu na akili ya kutafuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtafutaji akipata kizuri ale na wenzake ili siku atakapokuwa hana aweze kupata wa kumkaribishaMtafutaji anakula zaidi ili apate nguvu na akili ya kutafuta
La hasha sikubaliani na hilo. Mtu ni lazima ajipangie ratiba ya milo na aina ya chakula kwa siku ili isijekuwa chakula kinakinaisha au haiendani na bajeti yake.Yeye nwenyewe tegemezi atasemaje sasa? Hivi mtu anayehesabu leo amekula mboga gani ni mtu wa namna gani?! Lazima ni hopeless person.
Sasa asilalamike, ale anachokutana nacho mezani kwa sababu ndo bajeti ya provider ya siku hiyoLa hasha sikubaliani na hilo. Mtu ni lazima ajipangie ratiba ya milo na aina ya chakula kwa siku ili isijekuwa chakula kinakinaisha au haiendani na bajeti yake.
Yaan nijitese Lisa watoto? Mbona tunapiga nje na tunajikausha tuLabda niulize: Hiyo familia kubwa nani kaiunda? Unajua kuzaa tu bila kujua kulea? Infact ulaji wa nyama choma kulikopitiliza ni Hatari kwa Afya yako.
Kwa sababu Ukimwondoa mke wako; watoto wako wa kuzaa mwenyewe ni 50% damu yako wewe. Je, unawezaje kujitenga na kutokujipenda wewe mwenyewe ndani ya watoto wako?
Naam; Unajikausha tu kwa sababu unajua kabisa umetenda visivyo.Yaan nijitese Lisa watoto? Mbona tunapiga nje na tunajikausha tu
Who cares?Naam; Unajikausha tu kwa sababu unajua kabisa umetenda visivyo.
Tembelea maeneo ya nyama choma; utafikiri hawana familiaLabda niulize: Hiyo familia kubwa nani kaiunda? Unajua kuzaa tu bila kujua kulea? Infact ulaji wa nyama choma kulikopitiliza ni Hatari kwa Afya yako.
Kwa sababu Ukimwondoa mke wako; watoto wako wa kuzaa mwenyewe ni 50% damu yako wewe. Je, unawezaje kujitenga na kutokujipenda wewe mwenyewe ndani ya watoto wako?
Mkuu, kwa nini uwalishe michicha nyumbani; halafu wewe ukale nyama choma?Obviously wewe ni Marioo, unaonaga Mume wa dada yako akitoka akiwaacha sebuleni. Tafuta maisha achana na umarioo.
Lalamiko ni Usahihi au ni Halali kwa provider kula huko nje chakula ambacho ni tofauti na kile alichoipatia familia yake.Sasa asilalamike, ale anachokutana nacho mezani kwa sababu ndo bajeti ya provider ya siku hiyo
Ukirudi nyumbani, unakuwa unawacheulia nyama choma, huku wao wamekula tembeleWee hujui tuu kwa nini tunaenda bar kumwagilia moyo....hawa wanawake ukikaa nao ndani mwa nyumba mtarushiana maneno thu. Bora utulie na wana huko muda mcchache ndio utumie home na wife lah sivyo utajikuta umepiga mtu ngumi
Ndio yamekuwa maisha ya kila siku kwa wengine
Huna huruma na watotoYaan nijitese Lisa watoto? Mbona tunapiga nje na tunajikausha tu
Kuna makabila nyama siyo tatizo, familia ikihitaji nyama wanachinja mbuzi chap, whether ni mjini au kijijini. Huo uzoefu unaousema hapa mm naona Kuna walakin.Mkuu, kwa nini uwalishe michicha nyumbani; halafu wewe ukale nyama choma?
Hapo ndipo unashindwa kujitofautisha na mtu asiye na malengo. "Who cares" maana yake wewe haujali, potelea mbali shauri yao.Who cares?
Ndivyo inavyotakiwaMwanaume hakikisha sehemu kubwa ya mapato ya mikono yako yanakwenda kwa familia yako
Umeshawahi kuhudumia familia siku 365 katika maisha yako? Si chakula, matibabu, mavazi, entertainment, kijamimii etc etc? If yes, tell the experience. Ukute naongea na wrong person.Lalamiko ni Usahihi au ni Halali kwa provider kula huko nje chakula ambacho ni tofauti na kile alichoipatia familia yake.
Wanazo na hawazitendei haki. Sipendi sana kuhusisha habari za kiroho hapa lakini hebu angalia tu ww mwenyewe familia zenye aina hii ya baba. Sononeko la familia yake halimwachi salama. Utakuta leo hili, kesha hivi , vimikwaruzo na jamii, mara kazini hakuendi vizuri, akilima mazao hayastawi vizuri n.k. basi tu inakuwa ni mikosi na nuksi kwake kila mara. Kumbe anajimaliza mwenyewe. Kwani ukila nyama choma nyumbani kwako na familia yako haishuki ?Tembelea maeneo ya nyama choma; utafikiri hawana familia
Mkuu usinielewe tofauti. Sijakataa mtu kujipongeza walau anapokuwa amefanikiwa. Haimaanishi siku 365 uishi kama vile uko msibani No. Nasema; Usijijengee uhalali wa kila siku kula chakula Tofauti na kile ulichowapatia familia yako. Tuseme mathalani umewapatia kitoweo cha nyama familia yako . Halafu wewe kwa siku moja-moja ukajisogeza kupata moja baridi sioni ubaya. Mbona familia umeshaiacha wanafurahi? Hao ndo watakubariki nakuhakikishia.Umeshawahi kuhudumia familia siku 365 katika maisha yako? Si chakula, matibabu, mavazi, entertainment, kijamimii etc etc? If yes, tell the experience. Ukute naongea na wrong person.
Sahihi.Mkuu usinielewe tofauti. Sijakataa mtu kujipongeza walau anapokuwa amefanikiwa. Haimaanishi siku 365 uishi kama vile uko msibani No. Nasema; Usijijengee uhalali wa kila siku kula chakula Tofauti na kile ulichowapatia familia yako. Tuseme mathalani umewapatia kitoweo cha nyama familia yako . Halafu wewe kwa siku moja-moja ukajisogeza kupata moja baridi sioni ubaya. Mbona familia umeshaiacha wanafurahi? Hao ndo watakubariki nakuhakikishia.