Ni sahihi kwenda kula nyama choma, huku familia ikishindia mboga za majani?

Yeye nwenyewe tegemezi atasemaje sasa? Hivi mtu anayehesabu leo amekula mboga gani ni mtu wa namna gani?! Lazima ni hopeless person.
La hasha sikubaliani na hilo. Mtu ni lazima ajipangie ratiba ya milo na aina ya chakula kwa siku ili isijekuwa chakula kinakinaisha au haiendani na bajeti yake.
 
Sasa asilalamike, ale anachokutana nacho mezani kwa sababu ndo bajeti ya provider ya siku hiyo
 
Labda niulize: Hiyo familia kubwa nani kaiunda? Unajua kuzaa tu bila kujua kulea? Infact ulaji wa nyama choma kulikopitiliza ni Hatari kwa Afya yako.

Kwa sababu Ukimwondoa mke wako; watoto wako wa kuzaa mwenyewe ni 50% damu yako wewe. Je, unawezaje kujitenga na kutokujipenda wewe mwenyewe ndani ya watoto wako?
Yaan nijitese Lisa watoto? Mbona tunapiga nje na tunajikausha tu
 
Labda niulize: Hiyo familia kubwa nani kaiunda? Unajua kuzaa tu bila kujua kulea? Infact ulaji wa nyama choma kulikopitiliza ni Hatari kwa Afya yako.

Kwa sababu Ukimwondoa mke wako; watoto wako wa kuzaa mwenyewe ni 50% damu yako wewe. Je, unawezaje kujitenga na kutokujipenda wewe mwenyewe ndani ya watoto wako?
Tembelea maeneo ya nyama choma; utafikiri hawana familia
 
Obviously wewe ni Marioo, unaonaga Mume wa dada yako akitoka akiwaacha sebuleni. Tafuta maisha achana na umarioo.
Mkuu, kwa nini uwalishe michicha nyumbani; halafu wewe ukale nyama choma?
 
Sasa asilalamike, ale anachokutana nacho mezani kwa sababu ndo bajeti ya provider ya siku hiyo
Lalamiko ni Usahihi au ni Halali kwa provider kula huko nje chakula ambacho ni tofauti na kile alichoipatia familia yake.
 
Wee hujui tuu kwa nini tunaenda bar kumwagilia moyo....hawa wanawake ukikaa nao ndani mwa nyumba mtarushiana maneno thu. Bora utulie na wana huko muda mcchache ndio utumie home na wife lah sivyo utajikuta umepiga mtu ngumi
Ukirudi nyumbani, unakuwa unawacheulia nyama choma, huku wao wamekula tembele
 
Mkuu, kwa nini uwalishe michicha nyumbani; halafu wewe ukale nyama choma?
Kuna makabila nyama siyo tatizo, familia ikihitaji nyama wanachinja mbuzi chap, whether ni mjini au kijijini. Huo uzoefu unaousema hapa mm naona Kuna walakin.
 
Lalamiko ni Usahihi au ni Halali kwa provider kula huko nje chakula ambacho ni tofauti na kile alichoipatia familia yake.
Umeshawahi kuhudumia familia siku 365 katika maisha yako? Si chakula, matibabu, mavazi, entertainment, kijamimii etc etc? If yes, tell the experience. Ukute naongea na wrong person.
 
Tembelea maeneo ya nyama choma; utafikiri hawana familia
Wanazo na hawazitendei haki. Sipendi sana kuhusisha habari za kiroho hapa lakini hebu angalia tu ww mwenyewe familia zenye aina hii ya baba. Sononeko la familia yake halimwachi salama. Utakuta leo hili, kesha hivi , vimikwaruzo na jamii, mara kazini hakuendi vizuri, akilima mazao hayastawi vizuri n.k. basi tu inakuwa ni mikosi na nuksi kwake kila mara. Kumbe anajimaliza mwenyewe. Kwani ukila nyama choma nyumbani kwako na familia yako haishuki ?
 
Umeshawahi kuhudumia familia siku 365 katika maisha yako? Si chakula, matibabu, mavazi, entertainment, kijamimii etc etc? If yes, tell the experience. Ukute naongea na wrong person.
Mkuu usinielewe tofauti. Sijakataa mtu kujipongeza walau anapokuwa amefanikiwa. Haimaanishi siku 365 uishi kama vile uko msibani No. Nasema; Usijijengee uhalali wa kila siku kula chakula Tofauti na kile ulichowapatia familia yako. Tuseme mathalani umewapatia kitoweo cha nyama familia yako . Halafu wewe kwa siku moja-moja ukajisogeza kupata moja baridi sioni ubaya. Mbona familia umeshaiacha wanafurahi? Hao ndo watakubariki nakuhakikishia.
 
Sahihi.
 
Back
Top Bottom