Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
😂🤣Ha ha ha, mawazo yamekuja baada ya kunywa bia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂🤣Ha ha ha, mawazo yamekuja baada ya kunywa bia
Yes na hi Ni Siri Sana unaenda kula minyama ukizani kuwa unakula vzr kumb unajitafutia kifo kibaya walevi na Wala nyama siku zote hawadumu Sana Ila angalia wahindi Wala mbogamboga wako vzr mnoUliowaacha kula mboga za majani huenda kiafya wamekula chakula bora kuliko wewe uliyekimbilia kitaa kwenda kula nyama...
Kaka angu mm akitaka kula nyama hapendi kwenda sehemu kuchomewa yeye Ana kwenda buchani ananuna hata kilo tano nzur Ana jiko lake la kuchomea yeye na watot wake na mke wake wanachoma na kula pale pale yaani rah Sana bas huwa naalikwa siku ya kuchoma nyama ..huku tunachoma na story na Shem nae yumo Hapo na bint zake bas burudanii watot mke wake wanafurahi Sana na mm nimependa mfumo huoKwenda bar nakuagiza; mbuzi, kuku, kitimoto, nyama choma, pamoja na kumwagilia moyo na marafiki; huku familia umeiacha ikila mboga za majani, sio uungwana.
Itapendeza zaidi, kama utakuwa na familia yako; wote mkiwa mnatumia kwa pamoja, na si wewe na marafiki wakati huko nyumbani kwako wananung'unika.
Mwisho wa siku, unaopiga nao kilaji watakutelekeza, na utabaki na ile familia yako iliyokuwa ikishindia mboga za majani.
Inabidi tubadilike, familia kwanza.
Wa baa sio?Mtafutaji akipata kizuri ale na wenzake ili siku atakapokuwa hana aweze kupata wa kumkaribisha
Wachoyo, utawafahamu.Ulitaka familia yangu yooote iugue acha wao wale mboga majani kwa afya na mie nikija lemewa kwa sababu ya manyama wao waniuguze
Walisema nguruwe."Mtafutaji anakula zaidi ili apate nguvu na akili ya kutafuta"
Hapo mkuu umenena. Lakini mbona ni kama kuaihirisha tatizo? - kesho tatizo litakuwa palepale au litakuwa limeongezeka ukubwa. Kama mnahitilafiana au kupishana na wife si bora mkae faragha muyamalize- tena jiepusheni sana kuyapeleka sijui kwa mkwe, sijui kwa nani- iwe tu ni pale mmeshindwa kwa juhudi zenu wenyewe.Wee hujui tuu kwa nini tunaenda bar kumwagilia moyo....hawa wanawake ukikaa nao ndani mwa nyumba mtarushiana maneno thu. Bora utulie na wana huko muda mcchache ndio utumie home na wife lah sivyo utajikuta umepiga mtu ngumi
Oiyeyai! Mwenzako ni wife wako. Wa baa ni mchunaji tuu; achana naye.Wa baa sio?
Hapana mzeya yaani ukijenga maisha ya hivyo mbona wala hugombani na wife. Cha msingi mahitaji anapata na unamlelekea motoHapo mkuu umenena. Lakini mbona ni kama kuaihirisha tatizo? - kesho tatizo litakuwa palepale au litakuwa limeongezeka ukubwa. Kama mnahitilafiana au kupishana na wife si bora mkae faragha muyamalize- tena jiepusheni sana kuyapeleka sijui kwa mkwe, sijui kwa nani- iwe tu ni pale mmeshindwa kwa juhudi zenu wenyewe.
Oiyeyai! Mwenzako ni wife wako. Wa baa ni mchunaji tuu; achana naye.
Sawa kabisa. Pia tusisahau hakuna aina ya mfumo wa maisha ambamo hakuna changamoto. Changamoto ni muhimu sana ili maendeleo chanya yapatikane. Kwa hiyo sio busara kuzikimbia changamoto zilizo katika Familia yako.Hapana mzeya yaani ukijenga maisha ya hivyo mbona wala hugombani na wife. Cha msingi mahitaji anapata na unamlelekea moto
We hujui tuu tunavyo saidianaHapo mkuu umenena. Lakini mbona ni kama kuaihirisha tatizo? - kesho tatizo litakuwa palepale au litakuwa limeongezeka ukubwa. Kama mnahitilafiana au kupishana na wife si bora mkae faragha muyamalize- tena jiepusheni sana kuyapeleka sijui kwa mkwe, sijui kwa nani- iwe tu ni pale mmeshindwa kwa juhudi zenu wenyewe.
Oiyeyai! Mwenzako ni wife wako. Wa baa ni mchunaji tuu; achana naye.
Mnasaidiana na nani kwa lipi mkuu??We hujui tuu tunavyo saidiana
Hahahaaa. Sidhani kama hilo ni la Mungu. Mbona Mwili ukiulisha sumu utakupa majibu wenyewe na sio Mungu. Ulaji wa nyama (Red meat)kwa wingi husababisha mlundikano wa Uric acid mwilini na katika viungo. Unakula nyama nyingi kwa raha zako na unajipiga na gout kwa starehe zako. Mungu wapi na wapi.
Hilo nalo ni swali la kutuuliza tupoteze muda wetu kukujibu?Kwenda bar nakuagiza; mbuzi, kuku, kitimoto, nyama choma, pamoja na kumwagilia moyo na marafiki; huku familia umeiacha ikila mboga za majani, sio uungwana.
Itapendeza zaidi, kama utakuwa na familia yako; wote mkiwa mnatumia kwa pamoja, na si wewe na marafiki wakati huko nyumbani kwako wananung'unika.
Mwisho wa siku, unaopiga nao kilaji watakutelekeza, na utabaki na ile familia yako iliyokuwa ikishindia mboga za majani.
Inabidi tubadilike, familia kwanza.
Ni kweli umesema neno.Kwenda bar nakuagiza; mbuzi, kuku, kitimoto, nyama choma, pamoja na kumwagilia moyo na marafiki; huku familia umeiacha ikila mboga za majani, sio uungwana.
Itapendeza zaidi, kama utakuwa na familia yako; wote mkiwa mnatumia kwa pamoja, na si wewe na marafiki wakati huko nyumbani kwako wananung'unika.
Mwisho wa siku, unaopiga nao kilaji watakutelekeza, na utabaki na ile familia yako iliyokuwa ikishindia mboga za majani.
Inabidi tubadilike, familia kwanza.