Ni sahihi kwenda kula nyama choma, huku familia ikishindia mboga za majani?

Uliowaacha kula mboga za majani huenda kiafya wamekula chakula bora kuliko wewe uliyekimbilia kitaa kwenda kula nyama...
Yes na hi Ni Siri Sana unaenda kula minyama ukizani kuwa unakula vzr kumb unajitafutia kifo kibaya walevi na Wala nyama siku zote hawadumu Sana Ila angalia wahindi Wala mbogamboga wako vzr mno

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Bib angu alikatazwa kula nyama na dokta akagoma na mzee Bab angu anamletea samaki na kuku ila wapi yeye anapenda nyama ..aligoma ushauri wa dokta akisema Ni Bora kufa ila siyo kukatazwa kula nyamba chapu akafariki 2008

Nyama hz ili mm napenda nyam haswa wali nyamaz na mchemsho wa mbavuu zile acha kbsa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kwenda bar nakuagiza; mbuzi, kuku, kitimoto, nyama choma, pamoja na kumwagilia moyo na marafiki; huku familia umeiacha ikila mboga za majani, sio uungwana.

Itapendeza zaidi, kama utakuwa na familia yako; wote mkiwa mnatumia kwa pamoja, na si wewe na marafiki wakati huko nyumbani kwako wananung'unika.

Mwisho wa siku, unaopiga nao kilaji watakutelekeza, na utabaki na ile familia yako iliyokuwa ikishindia mboga za majani.

Inabidi tubadilike, familia kwanza.​
Kaka angu mm akitaka kula nyama hapendi kwenda sehemu kuchomewa yeye Ana kwenda buchani ananuna hata kilo tano nzur Ana jiko lake la kuchomea yeye na watot wake na mke wake wanachoma na kula pale pale yaani rah Sana bas huwa naalikwa siku ya kuchoma nyama ..huku tunachoma na story na Shem nae yumo Hapo na bint zake bas burudanii watot mke wake wanafurahi Sana na mm nimependa mfumo huo
Alfu jamaaa anachoma nyama sinawiva vzr Sana Kia's kwamba simechomwa na mtaalamu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ulitaka familia yangu yooote iugue acha wao wale mboga majani kwa afya na mie nikija lemewa kwa sababu ya manyama wao waniuguze
 
Wee hujui tuu kwa nini tunaenda bar kumwagilia moyo....hawa wanawake ukikaa nao ndani mwa nyumba mtarushiana maneno thu. Bora utulie na wana huko muda mcchache ndio utumie home na wife lah sivyo utajikuta umepiga mtu ngumi
Hapo mkuu umenena. Lakini mbona ni kama kuaihirisha tatizo? - kesho tatizo litakuwa palepale au litakuwa limeongezeka ukubwa. Kama mnahitilafiana au kupishana na wife si bora mkae faragha muyamalize- tena jiepusheni sana kuyapeleka sijui kwa mkwe, sijui kwa nani- iwe tu ni pale mmeshindwa kwa juhudi zenu wenyewe.
Wa baa sio?
Oiyeyai! Mwenzako ni wife wako. Wa baa ni mchunaji tuu; achana naye.
 
Hapana mzeya yaani ukijenga maisha ya hivyo mbona wala hugombani na wife. Cha msingi mahitaji anapata na unamlelekea moto
 
Sawa kabisa. Pia tusisahau hakuna aina ya mfumo wa maisha ambamo hakuna changamoto. Changamoto ni muhimu sana ili maendeleo chanya yapatikane. Kwa hiyo sio busara kuzikimbia changamoto zilizo katika Familia yako.
 
Hapo mkuu umenena. Lakini mbona ni kama kuaihirisha tatizo? - kesho tatizo litakuwa palepale au litakuwa limeongezeka ukubwa. Kama mnahitilafiana au kupishana na wife si bora mkae faragha muyamalize- tena jiepusheni sana kuyapeleka sijui kwa mkwe, sijui kwa nani- iwe tu ni pale mmeshindwa kwa juhudi zenu wenyewe.

Oiyeyai! Mwenzako ni wife wako. Wa baa ni mchunaji tuu; achana naye.
We hujui tuu tunavyo saidiana
 
Mungu kachukia, kawapiga na "gauti".(kuvimba magoti).

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa. Sidhani kama hilo ni la Mungu. Mbona Mwili ukiulisha sumu utakupa majibu wenyewe na sio Mungu. Ulaji wa nyama (Red meat)kwa wingi husababisha mlundikano wa Uric acid mwilini na katika viungo. Unakula nyama nyingi kwa raha zako na unajipiga na gout kwa starehe zako. Mungu wapi na wapi.
 
Kwenda bar nakuagiza; mbuzi, kuku, kitimoto, nyama choma, pamoja na kumwagilia moyo na marafiki; huku familia umeiacha ikila mboga za majani, sio uungwana.

Itapendeza zaidi, kama utakuwa na familia yako; wote mkiwa mnatumia kwa pamoja, na si wewe na marafiki wakati huko nyumbani kwako wananung'unika.

Mwisho wa siku, unaopiga nao kilaji watakutelekeza, na utabaki na ile familia yako iliyokuwa ikishindia mboga za majani.

Inabidi tubadilike, familia kwanza.​
Hilo nalo ni swali la kutuuliza tupoteze muda wetu kukujibu?

Sitashangaa siku nyingine ukiuliza ni sahihi kujikojolea ukiwa kwenye basi unasafiri.
 
Kwenda bar nakuagiza; mbuzi, kuku, kitimoto, nyama choma, pamoja na kumwagilia moyo na marafiki; huku familia umeiacha ikila mboga za majani, sio uungwana.

Itapendeza zaidi, kama utakuwa na familia yako; wote mkiwa mnatumia kwa pamoja, na si wewe na marafiki wakati huko nyumbani kwako wananung'unika.

Mwisho wa siku, unaopiga nao kilaji watakutelekeza, na utabaki na ile familia yako iliyokuwa ikishindia mboga za majani.

Inabidi tubadilike, familia kwanza.​
Ni kweli umesema neno.

Ungeongeza na wale tunaowaachia pesa ya kutosha familia ile chakula kizuri ila wao wanapeleka kwenye vikoba, vikundi, vijora, upatu, na sherehe huku familia ikila mboga ya jela na majani kila siku.
 
Back
Top Bottom