Akikuoa na dini yako ipo siku atakwambia anataka kuoa wa dini yake la badilishanajua Rc ni dhehebu ipo ndani ya dini ya kikristo ila ningekubali kuolewa nayeye kama sio yafuatayo ukigombana naye tu anakuacha mawifi je je kuongezewa mke mwingine yaani kazi sana.
nipo njia panda naweza olewa nikafa kama ananipenda anioe na dini yangu.
watoto wakikuwa watajua wafuate lipi.
Umemaliza [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hapo suluhisho wote muokoke muachane na dini muufuate uwokovu katika YESU KRISTO ndio mtaiona amani ya ndoa yenu. watu wa dini hawataweza kunielewa hapa zaidi watakejeli na kutukana.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Utakapo ngundua umri umeenda na hujapata wa kukuoa uje unichek pm nikuweke ndani, lakini mimi naabudu ng'ombe
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]mbinu ya kuwavuta wengi kwenda kwao na binti akitoka upande wao kwenda kwingine watamtumia mapepo na majini hadi akome
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata huyu tayari ameshatupiwa majini na hajitambui,asipopata mtu wa karibu wa kumsaidia,mtamkuta sasa hivi anasema ala la la la na maneno asiyoyajua badala ya kufanyia Mungu wa kweli ibada.
MKUU umeharibu hali ya hewa sana daah,..aiseeNdio hivyo mkuu,sijjakosea,sijaharibu,...wakristo ni waislam,waislam tunaamini kuwa Musa alihubiri uislam,Isa kahubiri uislam,Daudi kahubiri uislam,..
wakristo wa leo hawafati mafundisho ya Yesu(Isa),wanafata mafundisho ya PAULO kama wanafata mafundisho ya Yesu basi wakristo ni waislam kwani Isa(Yesu) alifundisha uislam..,
Unatakiwa ujue kuwa huwezi kuwa mwislamu kama humkubali Yesu(Isa) radhi ya allahu anuhu
Lakini Mkuu kwanza unatakiwa ujue nini maana ya neno "ISLAM"..
Taraka mpaka ya jirani yake ampelekeeZamani kidogo,pale Manzese Madizini kuna bi Mdada mmoja toka uchagani alielelewa katika Ukatoliki,alipataga Bwana kama wewe na Akasilimu...baada ya ndoa akuweza pata mtoto,hivyo akalimwa Talaka tatu!...
Sasa utamtambuaje huyu ji muislam na huyu ni muislam jina?Huyo mwanamme aliemfanyia dada ako hivyo sio muislam huyo,huyo anaitwa muislam jina
Umemaliza mkuuYOHANA 1:1-3
HAPO MWANZO KULIKUWAKO NA NENO, NAYE NENO ALIKUWAKO KWA MUNGU,NAYE NENO ALIKUWA MUNGU. HUYO MWANZO ALIKUWAKO KWA MUNGU. VYOTE VILIFANYIKA KWA HUYO WALA PASIPO YEYE HAKIKUFANYIKA CHO CHOTE KILICHOFANYIKA.
YOHANA 1:14
NAYE NENO AKAFANYIKA MWILI AKAKAA KWETU, NASI TUKAUONA UTUKUFU WAKE, UTUKUFU KAMA WA MWANA PEKEE ATOKAYE KWA BABA, AMEJAA NEEMA NA KWELI.
Sasa Mkuu, hapo umesema mwenyewe kua YESU HAKUJA KUTANGUA SHERIA ZA manabii. Je mbona Mohammad hakua nabii?Mkuu sijawahi kuikashifu dini ya kikristo hata siku moja na wala siwezi kuikashifu,kama umesoma koments zangu mimi nawakubali hata wale wanaoabudu Miti..
Kama hujui unatakiwa ujue kuwa waisalam bila ya kumkubali Isa(yesu) basi sio mwislam,kwa mantiki hiyo mwislam hawezi kumkashifu Isa(Yesu)..
Uislam umejengwa kama ni dini endedelezi kutoka kwa Ibrahimi,Musa,Daudi,Yesu na kwa maana hiyo kuwa dini ya kiislamu inafata yale yote aliyofanya na kuhubiriwa na Yesu(Isa),kwababu Isa na yeye kaendeleza yale aliyokuja nayo Musa kama biblia inavyosema katika
matayo 5:17
17) "Think not that I am come to destroy the law, or the prophets: I am not come to destroy, but to fulfil."
17)“Msidhani kwamba nimekuja kufuta sheria ya Musa(taurat) na mafundisho ya manabii. kwamba mpaka mbingu na dunia zitaka potoweka, hakuna hata herufi moja ya sheria itakayopotea mpaka shabaha yake ikamilike."
Mkuu hapo nimekuwekea tafsiri mbili utaona kuwa ya kiswahili kuna maneno yamezidishwa,sijui kwanini lakini ndio mambo yanvyochanganya katika bibilia...
Kwa ufupi Yesu kaja kuyaendeleza sheria za kitabu cha Musa "taurat",Muhamad na yeye kateremshiwa Quran kuja kuyaendeleza ya Musa na ya Yesu,..na ndio maana moja katika suna ya Isa(Yesu) ambayo waislamu tunaifata ni kutahiriwa,"
Je wewe umetahiriwa ,je wewe unamfuata yale aliyohuburi na kufanya Yesu,au unafaata yale aliyohubiri Paulo!!??
"Kafiri" ni neno wanalotumia waislam kuwaita wakristo,kwa kwelli waislamu wanawaita wakristo wamakafiri wanakuwa sio waisalam kwani waisalam tunatakiwa tuwakubaili "ahlil kitabu" watu walioteremshiwa vitabu,..
"kafiri" maana yake ni mtu asiekuwa na dini
Unaweza kusoma sana na usielewe vilevile, kuitafsiri Biblia sio kama usomavyo gazeti la udaku mkuu ndiyo maana tuna ambiwa tuenende katika roho si kupayuka payuka tuSasa mkuu unataka kuniambia kitabu chako cha imani yako kinapotosha!?mimi nakuwekea mistari ya Biblia,nimekwambia mimi nasoma sana Biblia na kuifahamu
Matayo 10:5-7:-
5) Yesu aliwatuma hawa kumi na wawili, akawaagiza, “Msiende kwa watu wa mataifa wala msiingie mji wo wote wa Wasamaria.
6) Bali waendeeni kondoo wa nyumba ya Israeli waliopotea.
7) Na mnapokwenda, hubirini mkisema, ‘Ufalme wa mbinguni umekaribia
Kwa maana hiyo Yesu ni mwokozi wa wana wa Israel Tu...Mimi na wewe Yesu hatuhusu...
Heeee hiyo namba 4 vip[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44] mie ndiyo nasikia wajamenimimi meogopa kubadili.
1.talaka
2.kupigwa
3.eti mwanaume ni Mungu wako wewe ni kijakazi wake.
4.eti hata ukiwa kwenye hedhi au kuumwa utafute njia ya kumtimizia mume wako so unampa tigo au halafu akikuforce hashtakiwi wala nini haki.
5.eti wewe hurusiwi kuongea kitu kupinga kitu yeye na ndugu zake ndio wapangaji.
6.watoto na mama wao wapo tu.
so mimi ht kama anahela nakila kitu nimeghairi
Sema hata wewe mkuu[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] na ndiyo kampa kwa haraka na mwenzie atakuja hivyo hivyoAcha upuuziiiiii baki na dini yako utakuja kujutaa mbeleni waislamu sisi ni wepesi kutoa talaka sijui wanafanyaga kwa misifa au ??
Tunasababisha masingle mothers kitaa.
Sio kweli.Mwanamke Hana dini kazi kwako
Mungu alimwapia Ibrahim kuwa ahadi ya mtoto Isaka anampa baraka zake na kubariki pia huyo pia huyo mtoto wa kijakazi naye nitampa baraka zake kwahiyo hayo mafuta ni sehemu ya baraka alizo pewa mtoto wa hajiriNa hiyo ndio nchi ambayo mafuta hayakauki,.na ni nchi ambayo Mungu kaahidi kuwa hatakuwa maskini mpaka mwisho wa dunia...
Kama hujui kitu ni kazi kubwa sanamimi meogopa kubadili.
1.talaka
2.kupigwa
3.eti mwanaume ni Mungu wako wewe ni kijakazi wake.
4.eti hata ukiwa kwenye hedhi au kuumwa utafute njia ya kumtimizia mume wako so unampa tigo au halafu akikuforce hashtakiwi wala nini haki.
5.eti wewe hurusiwi kuongea kitu kupinga kitu yeye na ndugu zake ndio wapangaji.
6.watoto na mama wao wapo tu.
so mimi ht kama anahela nakila kitu nimeghairi