Ni sahihi mimi nitoke kwenye Ukatoliki niwe Muislam?

Pia ungeweza kumshauri huyo mwanaume aje katika ukristo, dini ya haki na upendo na isiyokuwa na vinyongo au kulipizana mabaya
 
Usije ukabadili din sababu ya ndoa badili din ikiwa umeridhishwa na hoja zao
Sidhani kama atakuelewa, mtu akiwa mapenzini hasikilizagi ushauri. Kubadili dini kwaajili ya ndoa ni upuuzi uliopitiliza.
 
Olewa Dada nimeona watoto WA Mchungaji WA tatu wrote WA kike kila mchumba akija muislam Na wrote wamebadili dini wameolea Na wamejenga miji yao
Umekariri. Kubadili dini si tatizo..tatizo ni kubadili dini kwaajili ya kuolewa.
 
Kumbuka anayezungumziwa hapa ni mwanamke,ndiyo maana kwenye uislamu muislamu mwanaume anaweza kumuoa mwanamke asiye muislamu.

Huu msemo wa kuwa mwanamke hana dini unaweza kuwa usiwe sahihi ila unafikirisha.
 
Wewe binafsi huna imani imara. Katika umri ulionao ulitakiwa kufahamu maana ya wewe kuwa mkatoliki. Mpaka sasa hivi wewe ni Mkatoliki wa kuzaliwa lakini huufahamu Ukatoliki.
hata angekuwa dhehebu lingine, kiimani hajielewi afata mkumbo.
angejielewa from the beginning asingeendelea na jamaa au angeshajua anabadili.
kwa kweli huwa sipotezi muda wangu kama naona imani itasumbua.
 
Suala la ndoa pekee lisikufanye uhame dini,kwasababu wewe ni mkristo na unaufahamu,jipe muda pia uufahamu uislam pia,ndipo ufanye maamuzi!

Ukiona hayo yote yanakua magumu,kuna bomani pia mnaweza kwenda mkafunga ndoa yenu huko!
Suala la ndoa ni la kiimani.
 
Kama una umri juu ya miaka 22,maamuzi ya kubadilisha dini ni yako
 
Ukiangalia jinsi wanawake walivyokuwa ndio wateja wakubwa wa waganga na ndiyo wahanga kwa hawa watumishi wa mungu feki,basi utajua imani ya mwanamke ikoje.
 
We fuata moyo wako unasemaje,
kipi kitakupa amani ya moyo.
Hizi dini ni mitego tu. Waweza kuta dini zote hizi feki.
 
Hakuna maisha ya mwanadamu ambayo yana uhuru wa kufanya vyovyote ajisikiavyo,hata hapa Tz tunaishi kwa sheria na taratibu.
 
Kuwa mpagan alafu muulize hapo vipi
 
Haya uliyoyauliza ndio hutofautisha kati ya dini na imani tu.
 
Zamani kidogo,pale Manzese Madizini kuna bi Mdada mmoja toka uchagani alielelewa katika Ukatoliki,alipataga Bwana kama wewe na Akasilimu...baada ya ndoa akuweza pata mtoto,hivyo akalimwa Talaka tatu!...
Bora hivyo au bora mwanaume akatafute mwanamke wa nje ili amzalie?maana tumeyaona haya.
 
what do you think is the purpose of this life?
Purpose is overrated!Do you think because u are a human being you have purpose?Selfish thinking of religious human beings,what about other living things?Kwahiyo other organisms are purposeless?Mwanadamu ni living thing asie na tofauti na mnyama mwingine,tofauti ni kua ana akili na sentient,ila ana kila kitu kama wengine,emotions,maumivu,raha,huzuni,emphathy,etc.Hiyo purpose keep for yourselves!
who created us?
did we just magically appear from nothing ?
As scientists,we are still looking for answers!Sio kama nyie mnatoa majibu ya kufikirika eti tulijengwa kwa udongo!What the fvck is that nonsense?
and please don't tell me the evolution crap, because even those scientists who invented this theory cant explain why " evolution has paused".
Mkuu evolution ni effort tu ya mwanadamu kujaribu kutafuta majibu possible sources za sisi wanadamu.Sio kua ni jibu definite.Tunaendelea kutafuta majibu.Ndio raha ya sayansi.Hatujasema ndio jibu sahihi,ila so far kwa effort ya mwanadamu kwa kutumia sayansi tumefika kwenye Evolution Theory na yenyewe sio perfect,tutakuja kupata majibu sahihi zaidi research zinapoendelea.Anyone with a proven research can prove anything to be right or wrong.Ila kwenu,kilichoandikwa kwenye Biblia au Quran ndio sahihi!Rubbish
Most of the atheists, claim that there is no God because they can't see him. Well, if i tell you that there is a planet called Neptune. would you believe it? why do you believe that planet Neptune exists while you haven't seen it with your own eyes?
Mkuu,Neptune is real.Kwenye space centre kuna tools za kuona na unatuma waves za doppler effect unajua composition yake na kila kitu.Hebu acha kuleta theory za kiajabu.God is not real.Ni fictional character!Deal with it religious people!And again,Fvck your God,haya come and kill me kama umekasirika nimetukana fictional character called God!Dini haina tofauti na superstition,wote mnafanya rituals tu,wewe unafanyia kwenye kanisa yeye anafanyia chini ya mti,ni tofauti ya location tu..ila wote ni wachawi watupu!Nyani haoni kundule!
 
Hakuna maisha ya mwanadamu ambayo yana uhuru wa kufanya vyovyote ajisikiavyo,hata hapa Tz tunaishi kwa sheria na taratibu.

Mkuu,ni freedom from within yourself!

These religious fanatics wanaongonzwa na vitabu vilivyoandikwa na wanadamu wenzao waliowadanganya eti wametumwa na Mungu.

Mwanadamu huyu huyu dhaifu,mwenye hila,wivu,roho mbaya,etc,eti wametumwa na mungu wakuandikie kitabu ukifuate!Hahahahaa..Mbona hawajatumwa wajenge movie?Pia ni fasihi simulizi kama ilivyo fasihi andishi!Mungu gani so limited,dhaifu mpaka solution aliyopata ni kuandika vitabu?Stupid god!
 
Ndomana Mimi nikisikia tu Yale majina pendwa napita mbali....kuiacha imani uliyokua nayo mtihani mkubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…