Ni sahihi mimi nitoke kwenye Ukatoliki niwe Muislam?

Ni sahihi mimi nitoke kwenye Ukatoliki niwe Muislam?

Wasichana wengine wa kikristo ni hovyo sana.Akikutana na mvulana wa kibarakhashea anamdanganya kua mwanamke hana dini hivyo anatakiwa afuate dini ya mumewe.Lakini mvulana wa Kikrosto akikutana na ustaadha,ustaadha anamwambia mvulana wa kikristo badili dini,this is bullshit!Si mlisema mwanamke hana dini???Unagundua tuu ni utapeli wa hiyo dini.

Na ukiangalia wasichana wa kikristo wanaobadilisha dini ni wale wa hovyo hovyo,huwezi kuta msichana wa maana anayejitambua atoke nuruni aende gizani,haiwezekani!
Hahaha ndo hivo tena dadako ashamwelewa mfuga ndevu za kisunna. Ashaielewa mashine iliyotakaswa na kukuzwa kwa tende na biriani
 
Na swala la kuwaingilia wanawake kinyume na maumbile je lina taratibu gani kwenye uislamu?
Halipo katika mafundisho ya dini,na ni miongoni mwa madhambi makubwa na ni sababu mojawapo ya mwanamke kudai talaka hata kwa kadhi na ni haki yake kupewa hiyo talaka
 
Halipo katika mafundisho ya dini,na ni miongoni mwa madhambi makubwa na ni sababu mojawapo ya mwanamke kudai talaka hata kwa kadhi na ni haki yake kupewa hiyo talaka


Halipo kabisa eeh?Mbona mtume wa allah alifanya hivyo kwa Aisha?

Muslim scholars agree that Mohammed sodomized child Aiysha

Au ndio ile amri halali katika dini ya kiislam inayoruhusu kudanganya ambao siyo waislam(Taqiya)?

Au hatupaswi kufuata yote aliyoyafanya mtume wa allah?mfano yeye hakutoa mahari hata kwa mke mmoja.
 
nuhu mziwanda akabadili akatemwa na yule mdada sasa amerudi tena kuwa mkristo nyie nimebadilika naenda kumpa kibuti huyo mwanaume namtaniaga alisha-babu wangu naenda kumuacha nyie hamjui nimekataa kubadili kwanini .
jueni hilo.
adam aliletewa hawa kuwa msaidizi mpaka hapo mmenielewa.
 
Kabila tu ndio huwezi badilisha, hizi imani ni kama team tu muda wowote unahama
 
Sikia hii kama unaiamini Biblia, Au yeye aaminiye ana sehemu gani na asiyeamini? 2Wakorintho6:14-16
Ukweli wa Imani yako ndio huo!
 
Mkuu kwanza unatakiwa ufahamu kuwa Mohamad hakuja na jipya,alichokifanya yeye ni kuendeleza yale yaliyofundishwa na Musa na Isa,..kwa hiyo hata Muhamad hakuja kutengua sheria zilizoletwa kabla yake,..

Nani kasema waislam hawampendi Yesu,kama mwislam huwezi kuwa mwislam bila ya kumkubali Yesu na mafundisho yake, na kila waisalm wanapomtaja Yesu lazima wamuombee dua ya kumlinda huko aliko,..tunampenda Yesu kuliko wakristo,..

Waislam wanafata mafundisho ya Yesu kivitendo,mfano waislamu wanatahiriwa kama alivyotahiriwa Yesu siku nane baada ya kuzaliwa,lakini wakristo hawafanyi hivyo..

Mkuu kwanini tafauti ya Nabii na Mtume!??kwanini unasema Muhamad hakuwa Nabii
Q. Umesema hapa kwamba Mohammad hakuja na jipya. Whats the point mpaka aje angali hana kipya alichokuja nacho?.

Q.unafahamu kua Yesu Kristo alikuja na Kipya?

Umesema waislamu wanafuata mafundisho ya Yesu. Na ukatolea mfano wa Tohara ya mwili.
Mbona hata wapagani wanafanya tohara ndio kusema hiyo inamfanya mtu kua mcha Mungu?.

Mbona mambo ya msingi sana kama Ubatizo hayafanyiki?. Na hili ni swala Yesu kristo alilisisitiza sana alipokuja.

Yesu alibatizwa ubatizo wa Maji ili kutimiza Haki yote. Na wanafunzi wake pia.
 
Kwahiyo mtu akiolewa na mwislamu ajue anatumiwa kama bablish akichoka ustaaz anatoa talaka na kuvuta mwingine au anavuta mwingine ukiwa hapo hapo kama wanyama vile!
Tenganisha tabia ya mtu binafsi na dini. Dini haisemi hivyo, kwa hiyo huyo atakaye mtumia mtu kama bablish ni yeye mwenyewe si kwasababu ya dini yake, sababu hata dini inakataza hivyo
 
Us
naombeni ushauri mimi ni msichana ambaye kwa muda sijawa na mtu nilitangaza hapa nimepata mtu nimempenda amenipenda.
ila sasa kazi ipo yeye ni muislamu.
naanataka nibadilishe dini.
kwetu ni nope .
ni imani tosha walishakata niolewe na dini tofauti kwao juzi tumeenda hali ndio hiyo.
nimechoka kabisa.
naombeni ushauri.
maana wakristo hawatamkii ndoa ila nikipata waislamu.
wanadai ndoa fasta.
hata miezi sita hafikii.
so niko njia pandaa hadi now.
Usibadili dini ina madhara makubwa kwako. Unaweza ukaanya hivyo, lakini siku ukipewa talaka je utarudi kuwa mkiristo tena? Angalia pande zote za shilingi. Hata kama umesema anakupenda, mimi naona kama hicho ni kikwazo kikubwa sana kwako. Ebu jaribu kumwambia yeye abadili dini, akufuate huko uliko kama kweli na yeye anakupenda. Nadhani kama atafanya hivyo atakuwa kweli amekupenda. Kwanza wazazi wako walishakukataza na kumbuka asiyesikia la wazazi dunia humfunza. Wao wameona mengi na wanajua kwanini. Wazazi wako mwenyewe sio kama wana kukataza kwakuwa wana wivu na wewe, la hasha ni kwakuwa wana upendo wa agape kwako.
 
Tenganisha tabia ya mtu binafsi na dini. Dini haisemi hivyo, kwa hiyo huyo atakaye mtumia mtu kama bablish ni yeye mwenyewe si kwasababu ya dini yake, sababu hata dini inakataza hivyo

DINI inaruhusu kuoa wake wengi au kuoa na kuacha (talaka)means kuwatumia wanawake kama bablish wakishachoka unatoa talaka na kuvuta dogodogo.Kama wewe hauna tabia hiyo ni wewe binafsi lakini siyo mwongozo wa dini.
 
nuhu mziwanda akabadili akatemwa na yule mdada sasa amerudi tena kuwa mkristo nyie nimebadilika naenda kumpa kibuti huyo mwanaume namtaniaga alisha-babu wangu naenda kumuacha nyie hamjui nimekataa kubadili kwanini .
jueni hilo.
adam aliletewa hawa kuwa msaidizi mpaka hapo mmenielewa.


Naona umeamua kuwa na akili na kwa kukataa kwenda kwenye giza nene na utumwani au kifungoni.Wewe msichana smart inakuaje unataka kupeperushwa na upepo usio na maana?Tulia katoto kazuri.
 
naombeni ushauri mimi ni msichana ambaye kwa muda sijawa na mtu nilitangaza hapa nimepata mtu nimempenda amenipenda.
ila sasa kazi ipo yeye ni muislamu.
naanataka nibadilishe dini.
kwetu ni nope .
ni imani tosha walishakata niolewe na dini tofauti kwao juzi tumeenda hali ndio hiyo.
nimechoka kabisa.
naombeni ushauri.
maana wakristo hawatamkii ndoa ila nikipata waislamu.
wanadai ndoa fasta.
hata miezi sita hafikii.
so niko njia pandaa hadi now.

Kuna jambo moja ambalo wewe naona linakuchenga, kuna utofauti mkubwa sana kati ya dini na imani. Kubadili dini siyo shida, shida ni kubadili imani yako kama kweli hiyo imani unayo. Kama wewe ni mkristo maana yake unamuamini kristo na mafundisho yake na kama ni hivyo lazima ujue kwamba "Yesu ndiye njia ukweli na uzima na hakuna kwenda kwa baba bila kupitia kwake". Sasa kama mchumba wako ni muislamu na wewe ukibadili dini je utaendelea kuamini hivyo? kama hapana utaamini nini? huoni kwamba umesaliti imani yako?. Lakini nakushauri bora tu ukaolewe maana wewe ni mkristo jina, unaamini ukristo kwasababu umerithi kutoka kwa wazazi wako na si kwasababu una amini katika Kristo Yesu aliye kweli na uzima. Hivi mkristo ushindwe kabisa kuomba upate mume mwenye imani kama yako?. UNACHOTAKA KUKIFANYA SI KUBADILI DINI BALI KUKANA IMANI YAKO.
 
Olewa Dada nimeona watoto WA Mchungaji WA tatu wrote WA kike kila mchumba akija muislam Na wrote wamebadili dini wameolea Na wamejenga miji yao
Heee huyo mchungaji au mchunga tumbo mkuu labda kama waliamua kuondoka bila baraka za mzazi
 
soma quraan we vipee
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Katoto kazuri muda huo ninao basiii!! Mie najifunza kitu kinachonipa njia halisi ya kuifikia toba
asante kwa kunifungua hicho kitu nilikuwa sikijui
 
Hayo ndo majaribu katika imani… hiyo sauti unayoisikia kwamba mwanamke hana dini imeandikwa wapi?…. Hiyo sauti ni ya shetani , ikimbie. Mwanamke ndiye aliyekua wa kwanza kutoa na kushuhudia kaburi la Bwana Yesu likiwa wazi, wewe acha kuisikiliza hiyo sauti, inakupoteza, linda imani yako na Mungu atakuzidishia hitaji la imani yako kwa kadri ya imani yako,… (atakayenikana mbele za watu nami nitamkana mbele ya Baba yangu)…. Hizo tamaa ndio huzaa shamba, kisha dhambi huzaa mauti. Pia andiko lasema, "nimeumaliza mwendo, nimevipiga vita vilivyo vizuri, imani nimeilinda"
Tena hao wanawake ndiyo walio shuhudia mauti ya Bwana Yesu mpaka mwisho, hao wanaume wenye dini wote walimkimbia, licha yakuwa walikuwa wakila naye kushinda pamoja kulala pamoja lakini ndiyo hao walimkimbia, na ndiyo wanawake walikuwa kwanza kujua kama Bwana kafufuka wenye dini walikuwa wamejifungia ndani
 
Mnapoambiwa mwende kwenye roho ndio mnaambiwa msoma na kuyafata yaliyoandikwa kwenye biblia bila ya kufikiri,ufate kama anavyosema mchngaji hata kama anapotosha..

Mkuu mimi sijaongeza changu hapo nimenukuu kama biblia inavyosema sasa nimepayuka nini!??
Biblia huwezi kuielewa kwa kukalili mstari mmoja hapana, lazima ujue ujue mpaka anaandika huu mstari kaanza na nini? Na huwezi kuielewa mpaka uwe katika roho sio kusoma tu ndiyo maana unaambiwa kabla yakuanza kulisoma neno omba kwanza Bwana akupe tafsiri ya neno usomalo, na uwe na ufahamu wa kulitafakari
 
Back
Top Bottom