Mkuu kwanza unatakiwa ufahamu kuwa Mohamad hakuja na jipya,alichokifanya yeye ni kuendeleza yale yaliyofundishwa na Musa na Isa,..kwa hiyo hata Muhamad hakuja kutengua sheria zilizoletwa kabla yake,..
Nani kasema waislam hawampendi Yesu,kama mwislam huwezi kuwa mwislam bila ya kumkubali Yesu na mafundisho yake, na kila waisalm wanapomtaja Yesu lazima wamuombee dua ya kumlinda huko aliko,..tunampenda Yesu kuliko wakristo,..
Waislam wanafata mafundisho ya Yesu kivitendo,mfano waislamu wanatahiriwa kama alivyotahiriwa Yesu siku nane baada ya kuzaliwa,lakini wakristo hawafanyi hivyo..
Mkuu kwanini tafauti ya Nabii na Mtume!??kwanini unasema Muhamad hakuwa Nabii