Ni sahihi mke kuvaa skin tight mbele za watoto wake wa kiume?

Mpe MTU Uhuru baada ya hapo utamuona katika uhalisia wake .

Usimbane MTU Ila unachotakiwa kufanya ni kumkumbusha mipaka YAKE inapoishia .
 
Mnaoa slayqueens mnategemea nini? Ukishakuwa na familia, watoto washakuwa wakubwa...unavaa vitaiti mbele yao, huna adabu kabisa...unawafundisha nini? Mnadhani kuwa baba/mama ni kuvimbishana tumbo na kwenda leba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…