Ni sahihi mkeo kukutumia text kama hii?

Ni sahihi mkeo kukutumia text kama hii?

Kwa nini alale kabla jamaa hajarudi?
Kitabu gani kimeandika usilale adi mmeo au mkeo arudi?kiafya binadam anapaswa kulala sio chini ya masaa 8 kwa siku, sasa kama wewe umeona hutaki kupata masaa yq kutosha kupumzisha akili kwanini umchoshe na mwenzio? Ndo mana watu wengi wana depression,huyo ni mke sio mlinzi wa getini!
 
Mi funguo zangu nimeunganisha na za pikipiki kwahyo natembea nazo..mda wote hata nikirud saa Tisa usiku nafungua mlango
 
Kuna wanaume wenzetu ni maamuma wazungu wa reli...

Mkigongewa wake zenu, ndio mnakuwa wa kwanza kufanya mauaji ilihali hamuwajali...
 
Amwambie sawa.
Yeye anaona ni vizur kutoka kula vyombo arudi saa 8 amkatishe mwenzie usingizi
 
Kitabu gani kimeandika usilale adi mmeo au mkeo arudi?kiafya binadam anapaswa kulala sio chini ya masaa 8 kwa siku, sasa kama wewe umeona hutaki kupata masaa yq kutosha kupumzisha akili kwanini umchoshe na mwenzio? Ndo mana watu wengi wana depression,huyo ni mke sio mlinzi wa getini!
Kwa hiyo unashauri niwe nanywea ndani au nifanyaje?
 
Mi naona yupo sahihi.. kumuamsha mtu aliyelala akufungulie sio fair
Aisee tena mimi sipendagi kabisa kuamshwa usingizini, ni sahihi kabisa otherwise uwahi kabala sijasinzia
 
Hakuna tatizo hapo , sana sana jamaa alipaswa kushtuka kuwa huwenda ana Tabia mbaya ambazo hazimpendezi mwenza wake na Zina weza kuchangia Uharibifu wa penzi lao
 
Back
Top Bottom