Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Kumbe Bado hauko kwenye mkataba? Dah nakuombea usishindweMambo si hayo[emoji8]
MTU anarudi ananuka pombe tu,
Halafu hakuna kitu inakera kuamshwa aisee
Nahisi yatanishinda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe Bado hauko kwenye mkataba? Dah nakuombea usishindweMambo si hayo[emoji8]
MTU anarudi ananuka pombe tu,
Halafu hakuna kitu inakera kuamshwa aisee
Nahisi yatanishinda.
Sana mkuuNawahurumia wanawake wanaotegemea 100% of their needs from their husband. 99.9% watakuwa wanateseka na kunyanyasika sana
Afunge kwenye ruksi ya surual[emoji23]Funguo ataitupa akishalewa[emoji1787]
Kitabu gani kimeandika usilale adi mmeo au mkeo arudi?kiafya binadam anapaswa kulala sio chini ya masaa 8 kwa siku, sasa kama wewe umeona hutaki kupata masaa yq kutosha kupumzisha akili kwanini umchoshe na mwenzio? Ndo mana watu wengi wana depression,huyo ni mke sio mlinzi wa getini!Kwa nini alale kabla jamaa hajarudi?
Hahaha [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] dah!Kwa mama B wapi!!?
njia panda makabe
Huu ni mtihani mzito,Kumbe Bado hauko kwenye mkataba? Dah nakuombea usishindwe
Kumbe majf wengi mnakaa mitaa hiyo!Hahaha [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] dah!
Wabongo ndio zetu [emoji23][emoji23]Washauri wa ndoa ni wengi kuliko ndoa zilizopo
[emoji848]
SafiM funguo zangu nimeunganisha na za pikipiki kwahyo natembea nazo..mda wote hata nikirud saa Tisa usiku nafungua mlango
Mtu anarudi sa8 usiku na alikua kulewaHuu ni mtihani mzito,
Itategemea anachelewa kurudi katoka wapi[emoji23]
Kwa hiyo unashauri niwe nanywea ndani au nifanyaje?Kitabu gani kimeandika usilale adi mmeo au mkeo arudi?kiafya binadam anapaswa kulala sio chini ya masaa 8 kwa siku, sasa kama wewe umeona hutaki kupata masaa yq kutosha kupumzisha akili kwanini umchoshe na mwenzio? Ndo mana watu wengi wana depression,huyo ni mke sio mlinzi wa getini!
Aisee tena mimi sipendagi kabisa kuamshwa usingizini, ni sahihi kabisa otherwise uwahi kabala sijasinziaMi naona yupo sahihi.. kumuamsha mtu aliyelala akufungulie sio fair
Fanya starehe zako vyovyote utakavyo bila kusumbua wengine.Kwa hiyo unashauri niwe nanywea ndani au nifanyaje?