Ni sahihi mtu mmoja kula kitimoto nusu kilo peke yake akamaliza?

aaaah ila nyama tamu hiooo,,m hata kilo namaliza
 
Heee, nusu kilo ni nini? watu wanakula kilo tatu, sema tu huwa sipendi hii nyama
 
Hili suala la mtu mmoja kula kitimoto nusu kilo na ndizi mbili au ugali peke yake na akamaliza limekaaje kiafya? Huu sio ulafi na matumizi mabaya ya pesa?
Hela yangu napangiwa dah
 
Pale mabanda ya sisiemu nilikuwa nakula kilo mbili ~ ile ya kuchomwa
 
Watu wanapiga kilo 2 rosti Ugali anashushia na kvant mzinga na wako fresh tu kuendelea na mqmbo mengine itakuwa hako ka nusu ka ubahili
 
Sio ajabu.
Kitimimoto sili, ila nyama ya kawaida nusu ukiikaamga na ugali, inaisha bila tabu, kwanza nyama ukiikaamga inanywea.
 
Hili suala la mtu mmoja kula kitimoto nusu kilo na ndizi mbili au ugali peke yake na akamaliza limekaaje kiafya? Huu sio ulafi na matumizi mabaya ya pesa?
Hahahaaaaaaaa! Hata kilo Moja namaliza pekeyangu na bia PEMBENI Kwa utulivu kabisaaaaa!
 
Hahaha, unasema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…