Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Mkuu...
Nimekukosea tena na leo kwani..!!??[emoji134] [emoji134]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu...
Aisee ..sawaWengine wanakuwa wameolewa na 30's years... Wengine wanakuwa wamea za kuzaa mapema but wanazaa tu watoto wengi so unakuta mtu ana 42 na ana kichanga
Wengi wao ambao hawana changamoto za afya/wenza wa kudumu huwa :Wala sio utani..mtu at 45 kuzaa ni kukwepa majukumu
Hata hujakosea ni ile mgumba kazaa, mbeleko??...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]Mkuu...
Nimekukosea tena na leo kwani..!!??[emoji134] [emoji134]
Tulikuaga nae hapa mtaani kwetu Mgumba yule, maana alivyo pata ujauzito tu.... alihakikisha mtaa mzima unajaa mimate yake...tehteehh [emoji12] [emoji12]Hata hujakosea ni ile mgumba kazaa, mbeleko??...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume waoaji wenyewe wapo wapi???mi nakufosi tuzae nikishapata toto na business ya ndoa imefia hapoNaomba tujadili kidogo je kufikisha miaka 30+ kwa binti bila kuwa na mtoto kwa misimamo ya kusubiri Ndoa ni sawa au si sawa
Ubarikiwe mkuuNdoa kwanza kabla ya mtoto, vinginevyo ni uzinzi na uzinzi ni dhambi na mshahara wa dhambi ni mauti!! Umri si tatizo kivile, Sarah alizaa akiwa na miaka 90!! Ukimheshimu Mungu atakutunza tu na hakuna tatizo!!!
Haaahaaa....sipati picha aseeTulikuaga nae hapa mtaani kwetu Mgumba yule, maana alivyo pata ujauzito tu.... alihakikisha mtaa mzima unajaa mimate yake...tehteehh [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Na ulioa ukiwa na miaka mingapi,yaani mke ulimzidi ama alikuzidi umriMke wangu nilimuoa akiwa na miaka 32,mpaka sasa tuna watoto watatu ,mmoja dume wawili wa kike wakiwa na afya njema na nzuri,na bibie hajapata na wala hana complication zozote zile
Nilimuoa mimi nikiwa na miaka 36 na yeye 32Na ulioa ukiwa na miaka mingapi,yaani mke ulimzidi ama alikuzidi umri
hata yeye kuuliza alitaka mjadala huru pia no none of your fykofyoMaamuzi ni ya mama wa mtoto, kuwa sawa au si sawa is none of your business
Safi sana hata mie napenda kweli kuja kuoa umri kama huoNilimuoa mimi nikiwa na miaka 36 na yeye 32