Ni sahihi mwanamke kufika miaka 30 bila mtoto kwa kigezo cha kusubiri ndoa?

Ni sahihi mwanamke kufika miaka 30 bila mtoto kwa kigezo cha kusubiri ndoa?

Wala sio utani..mtu at 45 kuzaa ni kukwepa majukumu
Wengi wao ambao hawana changamoto za afya/wenza wa kudumu huwa :
-waoga wa majukumu
-kupenda utoto /ujana uendelee kudumu maishani mwao
-kuogopa miili kulegea /kuzeeka
-uchoyo na kuendekeza starehe za ujanani
-kutokuwa na uhakika wa matunzo /kipato
-kuiogopa suluba ya labor /kuzaa kwa uchungu
-kuathiriwa na imani kwamba akizaa maungo yao yatatanuka(ashakum si matusi) kuwa na bwawa
-kuwa na historia ya kuumizwa kisaikolojia au kuteswa kimwili hapo awali hasa na wanaume.
Hayo ni maoni yangu tu.
 
Ndoa kwanza kabla ya mtoto, vinginevyo ni uzinzi na uzinzi ni dhambi na mshahara wa dhambi ni mauti!! Umri si tatizo kivile, Sarah alizaa akiwa na miaka 90!! Ukimheshimu Mungu atakutunza tu na hakuna tatizo!!!
Ubarikiwe mkuu
 
ni sawa tu endapo hatopata mume....ila tukumbuke si wote wakujaza dunia wengine waongeza idadi tu
 
Mke wangu nilimuoa akiwa na miaka 32,mpaka sasa tuna watoto watatu ,mmoja dume wawili wa kike wakiwa na afya njema na nzuri,na bibie hajapata na wala hana complication zozote zile
Na ulioa ukiwa na miaka mingapi,yaani mke ulimzidi ama alikuzidi umri
 
Mara nyingi huwa wamechagua mpaka wao wenyewe wameamua kufuta vigezo vyote
Ukimpata yani unakuta anaakili bado zile za miaka 22 ni shidah sana
 
Usiombee mwanamke akuzidi umri au muwe sawa inakula kwako itasumbuka nae sana ni wachache sana ndio hujua wajibu wao
 
Back
Top Bottom