Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Naam kabisaHata hizo kuna baadhi ya wasafiri utakuta hawazipendi
Kuna mdau mmoja kwenye comments kasema kama vipi screen za kwenye mabasi ziwe zinazimwa tu kila mtu ajitafutie burudani yake
Ana hoja, binafsi nimemuelewa
Kuna tabia imekithiri ya Bus zinazoenda mikoani hasa zinazomilikiwa na ndugu zetu wakristo kulazimishia abiria maudhui kwa kuweka nyimbo za injili, hasa mwanzo wa safari. Je hii ni sawa? Hasa ukizingatia sio abiria wote ni wa imani ya kikristo na hii huwa adha kubwa kwa wasio wakristo.
Nadhani waige mfano wa kampuni mbili kubwa za Bus, moja ya Morogoro na nyingine ya Gairo. Ukipanda zile Bus huwezi jua mmiliki ni wa dini gani au dereva na kondakta ni wa dini gani. Na hiyo ndio Tanzania
Ila ukipanda hizi za wachaga na wakinga kama sio mkristo utaita maji mma🤣🤣
hapohapo Azam tv kuna option ya kuchagua kingine usiangalie, post inaongelea kuhusu kulazimishwa kuangalia au kusikiliza kwa sababu hupewi option nyingine🤣Ni kama zanzibar tu kipindi cha ramadhan hautakiwi ule hadharani hata kama sio muislamu....kuna mtu aliwahi kuleta mada kuhusu azam kuweka movie zenye maudhui ya kiislamu ambazo ni za vita kati ya waislamu na wakristo ila wachangiaji humu walidai kuwa haulazimishwi kuangalia azam tv
Inaonekana hujaelewa point yangu na mada husika. Mimi nimesisitiza umuhimu wa kusikiliza nyimbo zinazotuweka karibu zaidi na Mungu ili tuwe salama safarini. Nyimbo za Injili zinakaribisha uwepo wa Mungu. Hivyo tukiwa kwenye bus, Mungu akiwa karibu na sisi atatulinda na kutuepusha na ajali.Ajali zinatokea kwenye bus tu??
Huwezi kuangukiwa na nguzo ya umeme barabarani ukafa??
Vipi kuhusu zanzibarNa uzuri ha
hapohapo Azam tv kuna option ya kuchagua kingine usiangalie, post inaongelea kuhusu kulazimishwa kuangalia au kusikiliza kwa sababu hupewi option nyingine🤣
Kwenye king'amuzi cha Azam pia kuna channel zinaongelea dini yako tu muda wote🤣🤣, hajafanya ubaguzi hapo mnataka kumuongiza huku kwa faida binafsi
Kwa mabasi ya usiku huwa natamani wazime kabisa radio/TV kwani wengi wanaosafiri Usiku ni watu wanahitaji utulivPut
asante😊Waache kuweka miziki, filamu n.k kwenye mabasi. Wanatusumbua na kutupigia kelele.
Waweke wi-fi na sehemu za kuchaji tu, kila mtu ajichagulie anachotaka kungalia kwenye simu yake.
umuhimu ni kwako, sio kwa kila abiria🤣, wengine kwenye hilo bus wanaenda kuzini wake au waume za watu huko wanakoenda🤣Inaonekana hujaelewa point yangu na mada husika. Mimi nimesisitiza umuhimu wa kusikiliza nyimbo zinazotuweka karibu zaidi na Mungu ili tuwe salama safarini. Nyimbo za Injili zinakaribisha uwepo wa Mungu. Hivyo tukiwa kwenye bus, Mungu akiwa karibu na sisi atatulinda na kutuepusha na ajali.
Tunajadili kwa sheria za wapi?🤣Vipi kuhusu zanzibar
Tengeneza Post yako tuje kuijadili Zanzibar🤣, hapa jadili kilichopo na mtazamo wakoVipi kuhusu zanzibar
Tunajadili kwa sheria za wapi?🤣Vipi kuhusu zanzibar
Tengeneza Post yako tuje kuijadili Zanzibar🤣, hapa jadili kilichopo na mtazamo wakoVipi kuhusu zanzibar
Dogo upo period? Natengenezaje post wakati nishakueleza hayo mambo yapo potepoteTunajadili kwa sheria za wapi?🤣
Tengeneza Post yako tuje kuijadili Zanzibar🤣, hapa jadili kilichopo na mtazamo wako
Toa hoja ya nini kifanyike, utamaliza period yako kwa amani🤣Dogo upo period? Natengenezaje post wakati nishakueleza hayo mambo yapo potepote
Ukisoma post yote hadi mwisho kwa utulivu utagundua nimeelezea kotekote sijabagua, 😎😎, umeelewa mkuu? tunataka maoni yako, hayo ndo yanayoijemga jamii forum kwa kupokea fikra mbadala bila kudhurianaDogo upo period? Natengenezaje post wakati nishakueleza hayo mambo yapo potepote
Nenda ukaombewe na shekhe wakoMapepo yangu yalikasirika
Sasa c unaona bado tunarudi kule kule kuwa Huwez kumridhisha kila mtu, Au hayo magari yamewekwa kwa ajili ya Wakristo na Waislamu tuu?Majority ni Wakristo na Waislamu, msio na dini nyinyi dini yeu ni upagani na ni minority group
Sasa kama wanaenda kuzini wake au waume za watu, huoni kwamba nyimbo za Injili ndio njia nzuri ya kuwaonya waache uovu huo? Nyimbo za Injili zinahimiza watu kutubu na kuacha dhambi. Kwa mantiki hii, unapaswa kuwashauri wenye mabasi waongeze zaidi nyimbo za Injili badala ya kusema zinakera.huo umuhimu no
umuhimu ni kwako, sio kwa kila abiria🤣, wengine kwenye hilo bus wanaenda kuzini wake au waume za watu huko wanakoenda🤣
Waweke series za kwenda watu waenjoyHuwa wanaweka miziki ya bongo na kina mkojani injili tena!!😦
Kuna mabasi huwa naona wanaweka bongo movies, movies za mambele, comedy, miziki ya bongo na nje
Nyimbo za injili zina shida gani?Zinatukana? Zinahamasisha vurugu? Zinahamasisha mauji? Zinahamasisha wizi? Mbona sijawahi sikia mkilalamikia nyimbo za bongofleva zenye maudhui ya ngono zinapopigwa kwenye mabasi?Kuna tabia imekithiri ya Bus zinazoenda mikoani hasa zinazomilikiwa na ndugu zetu wakristo kulazimishia abiria maudhui kwa kuweka nyimbo za injili, hasa mwanzo wa safari. Je hii ni sawa? Hasa ukizingatia sio abiria wote ni wa imani ya kikristo na hii huwa adha kubwa kwa wasio wakristo.
Nadhani waige mfano wa kampuni mbili kubwa za Bus, moja ya Morogoro na nyingine ya Gairo. Ukipanda zile Bus huwezi jua mmiliki ni wa dini gani au dereva na kondakta ni wa dini gani. Na hiyo ndio Tanzania
Ila ukipanda hizi za wachaga na wakinga kama sio mkristo utaita maji mma🤣🤣