Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?


Ukienda sehemu ukakuta usafiri wa kukufikisha ni bus TATA au Eicher au Landrover zile za kizamani ujue unaenda sehemu iliyochoka sana
 
Orumotony hukoo mirongoo karibu na moita
 
Ukienda sehemu ukakuta usafiri wa kukufikisha ni bus TATA au Eicher au Landrover zile za kizamani ujue unaenda sehemu iliyochoka sana
πŸ˜„

Nlikosaga usafiri huko wakati
Fulani,sasa nlikuwa natakiwa dar ilibidi siku hyo ntoke na baiskeli maana kipindi hicho boda hakuna,nlinyonga baiskeli kutoka hapo segala mpaka aneti πŸ˜„ yaani nakatiza pori kwa pori

I hope sahv maeneo hayo angalau yameendelea

Ova
 
Mbona washazoea na hawajawahi kulalamika? O’bhebhe!
 
Noaj na hiace ndogo ndogo zimesaidia kupunguza adha ya usafiri maeneo mengi sehemu ambazo hazina Coaster utakutana na Noah na Hiace
 
Masange huko juu ya milima ya usambara...unapita lutindi mission unakwenda juu huko
Nlipowauliza wazee watu huku mlikujakuja vp kukaa mlimani wakasema enzi zile
Za kuwalazimisha na kukamata watu kufanya kazi(nguvu kazi)ndipo walikimbilia huko juu
Life ikaanza

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…