MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Sana,mbinga ni moto, na hivi vinyumba vya chini katikati ya mji wameambiwa wabomoe kama hawanauwezo wauze,Mbinga ni one of the best place kwa mkoa wa Ruvuma ila hizi Tunduru na Namtumbo zinafaa kuwa makazi ya tembo tu
Safi kamji kako serious sana kale mimi nilifika 2020 kwa sasa katakuwa mbali sana.Sana,mbinga ni moto, na hivi vinyumba vya chini katikati ya mji wameambiwa wabomoe kama hawanauwezo wauze,
Kama una kijumba chako mjinga anakujua na ml,300 na anakujengea na nyumba huko mapembeni.
Now kapo mbali,ukija tena stand utakuta wamehamisha,wanajengea stand kubwa.Safi kamji kako serious sana kale mimi nilifika 2020 kwa sasa katakuwa mbali sana.
Nikipata fursa ya kutembea nitatembelea tena Mbinga.Now kapo mbali,ukija tena stand utakuta wamehamisha,wanajengea stand kubwa.
Utembelee🙏Nikipata fursa ya kutembea nitatembelea tena Mbinga.
Utembeleeon
On my bucket listUtembelee🙏
Hahahaha 😆 😂 😆Kala, wilaya ya nkasi mkoa wa rukwa, kule nahisi wakazi wake walifika baada ya mtumbwi waliokuwa wanasafiria kupata dhoruba ndio wakaanzisha makazi
huoni mlenda una layer sijui ya algae fungus auSiku moja niko na jamaa yangu tunatafuta mashamba ya kukodi ya alizeti tulikua na mwenyeji anatutembeza mashambani. Mchana tunataka kurudi mwenyeji akatuambia twende kwanza kwake tule ndio tuondoke. Tukaona si mbaya.
Tumefika tukaenda sebuleni Chakula kikaja nikasahau kabisa kama Chakula chao kikuu ni mlenda.
Bwana bwana ulikuja ugali mgumu na mlenda mimi nilikua sijawahi kula mlenda wala ugali wa mtama😅
Nilihangaika mwenye ananiambia mbona hauli au chakula kibaya? Mimi naguna guna tu😂, nilishwindwa kula aisee ilibidi nikaupiga picha hii hapa chini.
Yaani utadhani unakula hina. Watu wanawakiwa na jua huko ndio maana miguu yao imekomaa halafu myembamba kama mianzi imechomekwa kwenye mapaja 🏃🏃View attachment 2379797
kaziUkubwa wa Tanzania ni 945,087 km²... Yaani ukiunganisha Kenya, Uganda, Burundi na Rwanda labda ndiyo itakaribia... Kwa ukubwa wa hii nchi ili kila eneo lipate maendeleo ya haraka ilikuwa ni vema kuwa na mfumo wa majimbo, yaani mfano Kigoma, Katavi na Rukwa jimbo moja hilo ambalo linapewa mamlaka ya kutumia sehemu ya asilimia from their resources kwa maendeleo yake...
Rais si alienda huko kufungua mgodi wa uranium?Namtumbo ni pasua kichwa itachukua miaka mingi sana kufunguka.
Hakuna motivation yoyote ya kupafungua