Ni shule gani ya sekondari ilijengwa na wakoloni Waarabu halafu Serikali ikaitaifisha baada ya uhuru 1961?


Bora wazungu walitupa elimu ambayo hata wewe mleta mada imekufanya leo hii unaendesha maisha yako na unaenda sawia na ulimwengu wa leo. Huyo mwarabu amefanya nini cha maaana zaidi ya kuwakaririsha kiarabu dini na tamaduni zake
 

Wavaakobazi watapinga
 
Kuna sehemu moja huwa inaitwa "Maskati" sijui kama kuna shule kule ila hao jamaa wamekaa kule kinachonishangaza kule ni bushi kichizi ilikuaje miamba wakakaa huko
Utafutaji
 
Kikwete ni muislamu ila amesoma shule za kanisa.

Mzee Makamba ni muislamu ila amesoma shule za kanisa
Kila kitu mnataka mfanyiwe matokeo yake wazungu walijenga mashule kwa pesa yetu kisha walisoma shule hizo mpaka sasa ndio vibalaka wanao tutesa
 
Madrasa maana yake ni shule. Ila wabongo wenyewe wanataka useme school ndo unaonekana mjanja.
Walio soma hizo school sindio hao wanao tutesa mpaka sasa kufisadi mali ya umma au
 
Waarabu na wafuasi wake ni moja kati ya wanadamu wapumbafu sana. Huyo mwarabu asingepewa mafuta angekua ndio bogaz kabisa
Ukizoea matusi utaishia kujitukana mwenyewe na wazazi eako!

Kama aliyepewa mafuta tu halafu AKATOBOA maisha unamuona bogasi...

Sasa hebu jiulize wewe uliepewa mafuta, gesi, madini, misitu na wanyama asilia... mito, bahari na maziwa na ardhi yenye rutuba na bado ukawa OMBAOMBA NJAA KALI... wenye akili wanakuonaje?

Kama wazungu na watu wengine watawaona waarabu na wafuasi wao hawana akili ni sawa... ila wewe na 'wamatumbi' wenzio ni heri tu 'mngefunga mabakuli yenu!'
 
Kule. Kwao kulikuwa Hakuna hizo shule. Ndio waje wajenge huku.
Elimu iliyopo duniani ni ya mfumo WA Ulaya. So ndio maana walipokuja wali jenga shule ili kuuleta huku.
Watu WA MO wao alikuwa wanajua kitabu kimoja tu maisha Yao yote. Mambo ya law of motion hayakuwa muhimu Kwao hata Sasa maeneo ambayo wamejaa waislam shule sio muhimu Kwao sababu wamebeba mfumo/tamaduni ule WA kiarabu.
 
Haya wataje hizo shule au madrasa walizojenga huko Zanzibar walipotawala
Waarabu wakujenga suhule walio jenga shule ni wazungu kwa mtazamo wa misaada kumbe waizi wakubwa walijenga kwa kutumia mali zetu kisha wakaleta ubaguzi wa dini zaidi walio soma kwenye shule hizo waliandaliwa kama vibalaka wao mpaka sasa ndio wanao tutesa kwa ufisadi zao la kanisa
 
Wale watakuwa wanajua kupakua mitaro na kufuga majini hawana lolotebzaidi ya hayo ndio maana wanapigana daily
 
Faidi ya waarabu nihizi zifuatazo

1 magofu yao ya kaole kilwa mjimkongwe magofu haya shirikali inachukua pesa nyingi kutoka kwa watalii kila mwaka hata izo shule ulizo soma zina mchango wa hiyo pesa

2 jiji la dar walio lianzisha wao na bandali yake na bandali ya bagamoyo

3 kishwahili tunacho tumia kama rugha ya taifa kina maneno mengi ya kiarabu

Yote haya waarabu hawanufaiki na chochote bali sisi ndio tunao nufaika


Alie Jenga shule ni mzungu baada ya kuujumu uchumi wetu na kupandikiza vibalaka wake wanao tutesa mpaka kesho chunguza mafisadi wote wamesoma kwenye hizo shule
 
kwa hiyo ndio shule mliyojenga
Chiz,
Ikiwa unakusudia kuuliza kama Al Jamiatul Islamiyya Muslim School ndiyo shule tuliyojenga naam hiyo ndiyo shule tuliyojenga.

Zipo pia shule nyingine zilizojengwa majimboni na East African Musliam Welfare Society sehemu nyingi za Tanganyika.

Kitu cha kuzingatia tia ni kuwa ukiwaondoa Wahindi ambao walikuwa wanajenga shule zao shule nyingine zote zilkikuwa zikijengwa na serikali na Wamishionari.

Shule hizi za Wamishionari ndiyo zilizosomesha Wakristo wengi Tanganyika.


Picha ya Jamhuri Primary School Dodoma na maelezo kutoka Maktaba ya Tewa Said Tewa aliyekuwa President wa EAMWS Tanganyika
 
Inaonekana kama EAMWS ilikuwa taasisi ya Wahindi na hata Wabantu hamkutakiwa huko. Ni kama Agha Khan vile
 
Waislam hawakusoma hizo shule Sheikh Said? Kwa nini Waislam hawakujenga shule?
Waisilam wangejenga vipi nawao hawa kuwa watala wa nchi hii wazungu ndio waliokuwa watala kwa mgogo wa kanisa
 
Inaonekana kama EAMWS ilikuwa taasisi ya Wahindi na hata Wabantu hamkutakiwa huko. Ni kama Agha Khan vile
Kinyungu,
Hapana si kweli.

Aga Khan alikuwa Patron wake na alisaidia sana jamii ya Kiislam.
Katika Uislam ubaguzi ni haram.

Hayo maneno unayosema ni propaganda zilizotungwa miaka hii ya karibuni na sababu yake ni kuwa Waislam wanaamshutumu Nyerere kwa kuivunja EAMWS na kuunda BAKWATA wakati ilikuwa inajenga Chuo Kikuu.

Waislam wanadai kuwa Nyerere alifanya hivyo kuwazuia Waislam wasielimike na inaaminika Kanisa lilikuwa nyuma ya uamuzi huo.

Hili jambo ni nyeti sana na ndiyo sababu ya propaganda hizi kuwa EAMWS ilivunjwa na Waislam wenyewe kwa kuwa hawakuwa wanamtaka Aga Khan kuwa kiongozi wao.

Nimefanya utafiti wa EAMWS na nimeandika paper, ''Islam and Politics in Tanzania,'' (1989) najua mengi.

Ikiwa unataka ukweli fungua uzi mwingine mimi nitakuja kutoa darsa In Shaa Allah.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…