Ni shule gani ya sekondari ilijengwa na wakoloni Waarabu halafu Serikali ikaitaifisha baada ya uhuru 1961?

Ni shule gani ya sekondari ilijengwa na wakoloni Waarabu halafu Serikali ikaitaifisha baada ya uhuru 1961?

Hii nongwa. Kweli nakwambia nongwa mbichi kabisa....sisi wapemba tuna elimu ya biashara ya kuzaliwa nayo.
 
Subiri story za EAMS sijui na story za chuo kikuu wakati eneo lao la chang'ombe BAKWATA wamemuuzia Manji kiroho safi
Ekari 20 kwa milioni 500 Chang'ombe...!
Hapo ndipo nilipo amini hakuna Mungu isipokuwa.........
 
Ukoloni ulianza around 1880's, wakati waarabu walifika mapema sana baada ya wachina kuondoka pwani ya afrika mashariki. Lakin ujio wa waarabu ulikua ni kibiashara ndio maana ata wazungu walipofika walitawala wote yaan kuanzia waarabu waliowakuta na waswahili pia.
 
Mwarabu na shule wapi na wapi?

Yeye anakitabu chake kimoja ukishakikariri tayari kimekamilika na itakuwa umeeleea hesabu zote kuanzia hisabati, mathematics, additional mathematics, basic applied mathematics,pure mathematics, physic,chemistry, biology , finance, law , engineering nk. Hawahitaji madrasa ya kawaida Wala viti vya kukaa

Nimecheka sana kwa kweli...
 
Habari wadau.

Nasikia baada ya kupata uhuru mwaka 1961 Serikali ilitaifisha shule zilizojengwa na wakoloni

Mfano shule zilizojengwa na wakoloni wazungu kama Minaki, Ilboru, Pugu, Mazengo, forodhani, etc

Je ni shule zipi zilitaifishwa ambazo zilijengwa na wakoloni waarabu?

Maana waarabu walitangulia kuja Tanganyika na Zanzibar kwa kwa miaka zaidi ya 500 kabla wakoloni wazungu hawajaja.

Zanzibar pia waarabu walifika mapema sana maana msikiti wa Kazimkazi ulijengwa mwaka 1006 AD, waarabu walitawala kwa miaka mingi Zanzibar na walifika mapema sana, naomba mnitajie ni shule gani ya sekondari waarabu walijenga Zanzibar, na ilijengwa mwaka gani?
Hao jamaa hawana habari na elimu dunia.
 
Hivi kuna mahali duniani hapa wanaishi bila kutegemea ujuzi na utaalamu kutoka kwa wazungu?
👉🤣 Nan kakudanganya kwamba wote wanategemea ujuzi jaribu kwenda china kaangalie tiba zao zile za kuchoma visindano mgongoni then niambie wazungu wapi wanafanya tiba hyo?

Jaribu kuwa na exposure acha kula ugali unadumaza akili.
 
Zanzibar yenyewe waarabu wametawala miaka zaidi ya 1000 ila shule ya sekondari hawakujenga mpaka mzungu alipokuja

Kina mama samia, shein , karume wamesoma shule ya lumumba ambayo ilijengwa na mzungu mwaka 1958 na kupewa jina la King George.

Jiulize mwaarabu yupo zanzibar toka mwaka 1007 AD ila shule inajengwa mwaka 1958 na wazungu.. yaani miaka 1000 mbele
Wamewajengea MISIKITI 🤣🤣🤣 ukienda Kigoma Ujiji kila baada ya nyumba 10 kuna msikiti ile adhana ya asubuhi kila msikiti una horn speakers 3😃😃😃 ni balaa kelele mji mzima na wakimaliza adhana kila msikiti wanaweka flash zenye MAWAIDHA hadi sa 1.30.

Kiufupi ikifika saa 11 alfajiri Kigoma Ujiji kwa mgeni huwezi kulala tena
 
Sio huko tu hata sehemu za Tanga, kwa miaka hii bado ni porini, na wao waliishi miaka huyeo hata kabla ya Uhuru. Kwa kweli ni watafutaji sana.
Walifuata neno ya tembo na wanyama pori tu na wala sio watafutaji kama usemavyo. Muskati ya Mvomero mkoani Morogoro hiyo. Ni porini kweli kweli na hawana ilimu yoyote huko
 
Tamaduni za kuoa mtoto wa baba mdogo au ndugu wa karibu siyo nzuri. Ndiyo maana Saudi Arabia wanashida kubwa sana za birth defects sababu ya kuoana ndugu wa karibu

Ruhusa ya kuoa mtoto wa baba mdogo na mkubwa au mtoto wa shangazi na mjomba haijaletwa na saudi arabia mpaka ianze kudhihirisha madhara leo, watu wameoana tangu maelfu ya miaka yaliyopita na hapajanukuliwa hayo madhara bali ni jambo linaloruhusiwa na uislamu wenyewe pasi na kuhusisha dola la suudi.

Yemen wanafanya pia, na waarabu wengine na waislamu wengine japo sio kwa kiwango cha juu kama waarabu kwa kule kukosekana udhibiti mzuri wa nasabu za watu wa race nyingine.
 
Siku hizi bila kuanzisha mada za ukakasi humu watu hawaoni raha, sijui ndio mwaka mpya na mambo mapya.
 
Mpwapwa high school.ukicheki list ya headmasters walioingoza ile shule utagundua hilo
 
Yeap ila walipitia na zile sehemu walizojenga ilikuwa ni trade routes zao, naona kule zanzibar ndo waliweka makazi ila sio hii Tanganyika...Na ukisema pwani unakosea maana hata Tabora kule wameacha ustaarabu wao
Hizo trade routes walikuwa wanafanya biashara gani hasahasa??
 
Back
Top Bottom