Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Hii nongwa. Kweli nakwambia nongwa mbichi kabisa....sisi wapemba tuna elimu ya biashara ya kuzaliwa nayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ekari 20 kwa milioni 500 Chang'ombe...!Subiri story za EAMS sijui na story za chuo kikuu wakati eneo lao la chang'ombe BAKWATA wamemuuzia Manji kiroho safi
Mwarabu na shule wapi na wapi?
Yeye anakitabu chake kimoja ukishakikariri tayari kimekamilika na itakuwa umeeleea hesabu zote kuanzia hisabati, mathematics, additional mathematics, basic applied mathematics,pure mathematics, physic,chemistry, biology , finance, law , engineering nk. Hawahitaji madrasa ya kawaida Wala viti vya kukaa
Hao jamaa hawana habari na elimu dunia.Habari wadau.
Nasikia baada ya kupata uhuru mwaka 1961 Serikali ilitaifisha shule zilizojengwa na wakoloni
Mfano shule zilizojengwa na wakoloni wazungu kama Minaki, Ilboru, Pugu, Mazengo, forodhani, etc
Je ni shule zipi zilitaifishwa ambazo zilijengwa na wakoloni waarabu?
Maana waarabu walitangulia kuja Tanganyika na Zanzibar kwa kwa miaka zaidi ya 500 kabla wakoloni wazungu hawajaja.
Zanzibar pia waarabu walifika mapema sana maana msikiti wa Kazimkazi ulijengwa mwaka 1006 AD, waarabu walitawala kwa miaka mingi Zanzibar na walifika mapema sana, naomba mnitajie ni shule gani ya sekondari waarabu walijenga Zanzibar, na ilijengwa mwaka gani?
👉🤣 Nan kakudanganya kwamba wote wanategemea ujuzi jaribu kwenda china kaangalie tiba zao zile za kuchoma visindano mgongoni then niambie wazungu wapi wanafanya tiba hyo?Hivi kuna mahali duniani hapa wanaishi bila kutegemea ujuzi na utaalamu kutoka kwa wazungu?
Huwezi kumuona hapa Mzee wetuAl muntazir ilianzishwa 1986
Wakoloni walikuwa washakula
Kona
Ngoja aje mtaalam wetu wa historia
Atudadavulie
Mohamed Said
Ova
Wamewajengea MISIKITI 🤣🤣🤣 ukienda Kigoma Ujiji kila baada ya nyumba 10 kuna msikiti ile adhana ya asubuhi kila msikiti una horn speakers 3😃😃😃 ni balaa kelele mji mzima na wakimaliza adhana kila msikiti wanaweka flash zenye MAWAIDHA hadi sa 1.30.Zanzibar yenyewe waarabu wametawala miaka zaidi ya 1000 ila shule ya sekondari hawakujenga mpaka mzungu alipokuja
Kina mama samia, shein , karume wamesoma shule ya lumumba ambayo ilijengwa na mzungu mwaka 1958 na kupewa jina la King George.
Jiulize mwaarabu yupo zanzibar toka mwaka 1007 AD ila shule inajengwa mwaka 1958 na wazungu.. yaani miaka 1000 mbele
Umecheka nini bro?😅😅😀😁😜Nimecheka sana kwa kweli...
Tuseme mkuu Accumen Mo hauifahamu dola ya kilwa.Yeap ila walipitia na zile sehemu walizojenga ilikuwa ni trade routes zao, naona kule zanzibar ndo waliweka makazi ila sio hii Tanganyika...Na ukisema pwani unakosea maana hata Tabora kule wameacha ustaarabu wao
Walifuata neno ya tembo na wanyama pori tu na wala sio watafutaji kama usemavyo. Muskati ya Mvomero mkoani Morogoro hiyo. Ni porini kweli kweli na hawana ilimu yoyote hukoSio huko tu hata sehemu za Tanga, kwa miaka hii bado ni porini, na wao waliishi miaka huyeo hata kabla ya Uhuru. Kwa kweli ni watafutaji sana.
Ruhusa ya kuoa mtoto wa baba mdogo na mkubwa au mtoto wa shangazi na mjomba haijaletwa na saudi arabia mpaka ianze kudhihirisha madhara leo, watu wameoana tangu maelfu ya miaka yaliyopita na hapajanukuliwa hayo madhara bali ni jambo linaloruhusiwa na uislamu wenyewe pasi na kuhusisha dola la suudi.Tamaduni za kuoa mtoto wa baba mdogo au ndugu wa karibu siyo nzuri. Ndiyo maana Saudi Arabia wanashida kubwa sana za birth defects sababu ya kuoana ndugu wa karibu
Mohamed Said jibu hili ili tuone kama Sykes wako alijenga shule au la!Al muntazir ilianzishwa 1986
Wakoloni walikuwa washakula
Kona
Ngoja aje mtaalam wetu wa historia
Atudadavulie
Mohamed Said
Ova
Hahaaaa, nimecheka japo hiyo haikuwa nia ya muanzisha uzi.Unatafuta vita na watoto wa mnyazimungu
Mkuu lusungo ni jina lako au ni sehemu ulipotokea, samahani lakini nje ya madaWaarabu walieneza korani na uislam.
Hizo trade routes walikuwa wanafanya biashara gani hasahasa??Yeap ila walipitia na zile sehemu walizojenga ilikuwa ni trade routes zao, naona kule zanzibar ndo waliweka makazi ila sio hii Tanganyika...Na ukisema pwani unakosea maana hata Tabora kule wameacha ustaarabu wao
Hata za wabantu zilikuwa fresh zaidi, maadili mazuriIla tamadun za waarabu zko fresh na maadil mazuri