avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 8,082
- 14,457
Sijasema Wakristu ndio wasomi zaidi Tanzania hapana, dini zote Zina wasomi wabobezi kwenye nyinja mbalimbali. Lakini asilimia kubwa ya wasomi wote Tanzania, wamenufaika au kutumia kwa njia Moja au nyingine miundombinu ya elimu iliyotengenezwa na kanisa. Hivyo hata wakati tunawarushia madongo tukumbuke ukweli huo, tuwatambe na angalau tuwaheshimu kwa hilo.Hapa hata wewe inaonyesha shule imekupita mbali, kukulili kitabu kukoje na kusoma kukuje.
Haya tuseme watanzania wakristo ni ea somi, na tuone kupitia elimu ya wameisaidia nini Tanzania.
Ukiisoma historia ya Tanzania, utaona wale ambao hawakusoma ndiyo asilimia kubwa walipogania uhuru wa nchi, hata ukiangalia eneo la kiuchumi biashara kubwa kubwa zimeshikiliwa na wale wasiosoma, huku waliosoma, wakishindwa hata kuanzisha kiwanda cha spoku za baiskeli zinazotengezwa china.
Alafu kuna maneno ya Chini chini watu wanasema, Ustarabu ulianzis pwani, kwa wasiosoma eti hata Lugha adhimu ya Kiswahili ikianzia huko.
Wamisionari wa Kikristu walikuwa wanajenga vitu mapacha vitatu. Kanisa, shule na hospitali. Ila waarabu wao walijua na mpaka Sasa hivi wanajenga kitu kimoja tuu