inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Kwa uelewa wako shule ni nini!?Weka nyama.. nimeuliza kwenye uzi.. mtaje shule ambazo baada ya uhuru serikali ilizitaifisha kutoka kwa waarabu..
Mbona za wazungu nimezitaja Ilboru, mazengo, pugu, forodhani, oldu moshi.
Na wewe zitaje za waarabu majina?