jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Unatafuta vita na watoto wa mnyazimungu
Wamejaa povu na matusi wakati wengi wamesomeshwa na kanisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatafuta vita na watoto wa mnyazimungu
Ujinga wa hawa wenzetu wanadhani wasomi, ila wakosa udadisi, ndiyo maana leo kanisa lilikengwa kutumia neno la Mungu hutumika kuibia na kutapeli ndani ya makanisa.
Ukifuatilia wale watawala walikuja kwa mission tofauti tofauti wapo walikuja kuvuna asimali za Taifa, hivyo walikuja Tanganyika kusudi maalumu.
Shule zilijengwa na Wamisional, siyo kwa sababu walitupenda sana, wale walikuja kueneza Dini, Shule na hata huduma Afya na hata mavazi vilitumika kuwavuta watu, kwenye imani yao.
Kama leo anavyofanya mchungaji Mwamposa, watu kutoa shuhuda ili kuwavuta wengine kwe juduma anayoitoa.
Sema tofauti iliyopo na wamisionali wanzeke walitoa vitu vya kudumu, mwamposa vitu vinavyomsaidia mtu mda mfupi.
Hivyo dini ni kama biashara walipokua wanaitangaza huku kwetu, wapo walietumia maneno madogo wengine vivutio maalumu.
Ila sababu watu hatusomi hostoria ya nchi na uingiaji wa dini hizi, unajikuta unajitapia ujinga.
Sijasema Wakristu ndio wasomi zaidi Tanzania hapana, dini zote Zina wasomi wabobezi kwenye nyinja mbalimbali. Lakini asilimia kubwa ya wasomi wote Tanzania, wamenufaika au kutumia kwa njia Moja au nyingine miundombinu ya elimu iliyotengenezwa na kanisa. Hivyo hata wakati tunawarushia madongo tukumbuke ukweli huo, tuwatambe na angalau tuwaheshimu kwa hilo.
Wamisionari wa Kikristu walikuwa wanajenga vitu mapacha vitatu. Kanisa, shule na hospitali. Ila waarabu wao walijua na mpaka Sasa hivi wanajenga kitu kimoja tuu
UtafutajiKuna sehemu moja huwa inaitwa "Maskati" sijui kama kuna shule kule ila hao jamaa wamekaa kule kinachonishangaza kule ni bushi kichizi ilikuaje miamba wakakaa huko
Kila kitu mnataka mfanyiwe matokeo yake wazungu walijenga mashule kwa pesa yetu kisha walisoma shule hizo mpaka sasa ndio vibalaka wanao tutesaKikwete ni muislamu ila amesoma shule za kanisa.
Mzee Makamba ni muislamu ila amesoma shule za kanisa
Mzee unauhakika?Ilboru secondary
Dunia ya leo bado unaweza uchawi,ukimuona mtu anaongelea jambo sana ujue hiyo ni tabia yake kwa tarifa yako bila uchawi hakuna kanisaUmesahau na uchawi ulio ambatana na majini
Walio soma hizo school sindio hao wanao tutesa mpaka sasa kufisadi mali ya umma auMadrasa maana yake ni shule. Ila wabongo wenyewe wanataka useme school ndo unaonekana mjanja.
Aisee... hilo ni neno la Kijerumani na hadi leo ujerumani wanatumia neno schule.Shule ni neno la kiarabu lenye maana ya mahali pa kujifunza,Sasa Kama mwarabu hakujenga mahali pa kujifunza huku Tanganyika na Zanzibar sawa
Ukizoea matusi utaishia kujitukana mwenyewe na wazazi eako!Waarabu na wafuasi wake ni moja kati ya wanadamu wapumbafu sana. Huyo mwarabu asingepewa mafuta angekua ndio bogaz kabisa
Waarabu wakujenga suhule walio jenga shule ni wazungu kwa mtazamo wa misaada kumbe waizi wakubwa walijenga kwa kutumia mali zetu kisha wakaleta ubaguzi wa dini zaidi walio soma kwenye shule hizo waliandaliwa kama vibalaka wao mpaka sasa ndio wanao tutesa kwa ufisadi zao la kanisaHaya wataje hizo shule au madrasa walizojenga huko Zanzibar walipotawala
Faidi ya waarabu nihizi zifuatazoMkoloni muarabu aliacha magofu ya misikiti yake tu ambako huko nako kulikuwa na madrasa za kukaririsha watoto wa kiafrika lugha yake ambako athari yake ipo mpaka leo. Bora mkoloni mzungu aliyeacha makanisa na shule ambazo ni faida kwa waafrika hadi sasa.
Chiz,kwa hiyo ndio shule mliyojenga
Waislam hawakusoma hizo shule Sheikh Said? Kwa nini Waislam hawakujenga shule?Shule hizi za Wamishionari ndiyo zilizosomesha Wakristo wengi Tanganyika.
Inaonekana kama EAMWS ilikuwa taasisi ya Wahindi na hata Wabantu hamkutakiwa huko. Ni kama Agha Khan vileChiz,
Ikiwa unakusudia kuuliza kama Al Jamiatul Islamiyya Muslim School ndiyo shule tuliyojenga naam hiyo ndiyo shule tuliyojenga.
Zipo pia shule nyingine zilizojengwa majimboni na East African Musliam Welfare Society sehemo nyingi za Tanganyika.
Kitu cha kuzingatia tia ni kuwa ukiwaondoa Wahindi ambao walikuwa wanajenga shule zao shule nyingine zote zilkikuwa zikijengwa na serikali na Wamishionari.
Shule hizi za Wamishionari ndiyo zilizosomesha Wakristo wengi Tanganyika.
![]()
![]()
Picha na maelezo kutoka Maktaba ya Tewa Said Tewa aliyekuwa President wa EAMWS Tanganyika
Waisilam wangejenga vipi nawao hawa kuwa watala wa nchi hii wazungu ndio waliokuwa watala kwa mgogo wa kanisaWaislam hawakusoma hizo shule Sheikh Said? Kwa nini Waislam hawakujenga shule?
Kinyungu,Inaonekana kama EAMWS ilikuwa taasisi ya Wahindi na hata Wabantu hamkutakiwa huko. Ni kama Agha Khan vile