inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Aliyofanya biashara ya utumwa ni mzungu,alipogundua mashine akapiga marufuku biashara ya utumwa na ikafa,afrika mashariki ni Kama haikuwepo ukilinganisha na kule Africa magharibi,huko magharibi hakufanya mwarabu hiyo biasharNi kweli lkn alikonipeleka huko alihakikisha anajenga shule, hospitali na kanisa. Sasa kuna yule aliyeniuza kama nyanya sokoni, anitesa na kuua kabisa
Aliyofanya biashara ya utumwa ni mzungu,alipogundua mashine akapiga marufuku biashara ya utumwa na ikafa,afrika mashariki ni Kama haikuwepo ukilinganisha na kule Africa magharibi,huko magharibi hakufanya mwarabu hiyo biashar
Uwe unasoma na kuelewa,acha kukurupuka(The Stone Town was host to one of the world's last open slave markets, presided over by Arab traders until it was shut down by the British in 1873)
Waarabu kwa nini walijenga stone town Slave market in zanzibar kama wao hawakufanya biashara ya utumwa?
Soko la watumwa la stone town lilikuwa linaendeshwa na jamii gani?
Pia soko la watumwa la Bagamoyo lilijengwa na jamii gani na lilikuwa linaendeshwa na nani kama sio waarabu?
Muarabu sio malaika ni mtu kama wewe na mimi unaweza kutueleza alicho iba mpaka sasa kwa sababu muarabu alirudi kwao huku kwetu hakuwacha vibalaka aliondoka kama alivio kujaMwarabu hakuiba? Mbona mnamuona Mwarab kama malaika? Kwa hiyo yeye mali alikuwa anatoa kwao analeta hapa nchini?
Muarabu sio malaika kuhusu utumwa hata babu yako ( watemi) walihusika kuuza watu kwa muarabu muarabu akiuza kwa wazungu,muarabu awezi kuwa malaika hata siku 1 hapa kinacho takiwa ni kweli sio chukiMwarabu kafanya biashara ya utumwa sana
Ila bado anaonekana malaika
Cha kwanza aliiba watu na kwenda kuwafanya watumwa wake huko Uarabuni. Angalia hapa chini Watumwa waliochoka kutumikishwa na mwarab waliasi huko Busra Iraq mwaka 869Muarabu sio malaika ni mtu kama wewe na mimi unaweza kutueleza alicho iba mpaka sasa kwa sababu muarabu alirudi kwao huku kwetu hakuwacha vibalaka aliondoka kama alivio kuja
Lakini wazungu mpaka kesho bado wanatunyonya kupitia vibalaka viake alio pandikiza huku afirika hilo liko wazi hapa tuna eleweshana tu ndugu tueleze muarabu mpaka sasa anamiliki nini huko kuanzia aridhi vibalaka na kadhalika
Biashara ya utumwa hata babu yako alihusika kuuza watu wao kwa waarabu kisha muarabu akiuza kwa wazungu hilo hali ubishi mpaka sasa Amerika kuna watu weusi wapatao miloni 20 bado Uingereza nk ukweli ulivio mpaka sasa bado wazungu wanatunyoya kupitia vibalaka wao mfano muarabu hapa tz anamiliki nn?Cha kwanza aliiba watu na kwenda kuwafanya watumwa wake huko Uarabuni. Angalia hapa chini Watumwa waliochoka kutumikishwa na mwarab waliasi huko Busra Iraq mwaka 869
Ukimaliza kubishia huo wizi wao wa binadamu nitakupa vingine walivyoiba
Wewe mwenyewe hapa hiyo kometi yako inakutambulisha kuwa ni mdini bali unajificha kwenye uzungu jiweke wazi tuWaafrika wengi wanazamia nchi za wazungu ambao ni wakristo japo upagani nao upo huko, cha ajabu waafrika waislam hakimbilii nchi za kiarabu ambazo ni imani moja. Nchi za kiarabu hazina ustaarabu ni vuruguvurugu tu za dini yao. Kukomesha upuuzi huo mashirikisho ya michezo ulimwenguni yapeleke mashindano ya michezo huku ili kuondoa udinidini usio na tija kwa dunia iliyostaarabika. Kamati ya olimpiki kimataifa nayo wapeleke mashindano yake kwenye nchi ya kiarabu inayojitia wazimu kukumbatia mifumo ya dini katila utawala wake. Dunia iwe sehemu salama kuishi popote bila bughudha
Basra ni Ulaya?Biashara ya utumwa hata babu yako alihusika kuuza watu wao kwa waarabu kisha muarabu akiuza kwa wazungu hilo hali ubishi mpaka sasa Amerika kuna watu weusi wapatao miloni 20 bado Uingereza nk ukweli ulivio mpaka sasa bado wazungu wanatunyoya kupitia vibalaka wao mfano muarabu hapa tz anamiliki nn?
Aliesema waarabu awakufanya biashara ya utumwa akapimwe mkojo kinacho gomba hapa hao watumwa alikuwa anawapata wapi na kuwauza wapi,hili hiwe biashara lazima uuze na kununuaUwe unasoma na kuelewa,acha kukurupuka
Wewe imebuni nini kazi kuwasifia wanaume wenzio utaolewa shauliako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
waarabu wahuni wale, wao walikuja kusaka fursa na kutuachia mbegu za waarabu koko wamejaa kibao.Maana waarabu walitangulia kuja Tanganyika na Zanzibar kwa kwa miaka zaidi ya 500 kabla wakoloni wazungu hawajaja.
We fala si unasema una elimu🤣🤣haya njiti ya kibiriti hujagundua ...Tuliza mshono!Wewe imebuni nini kazi kuwasifia wanaume wenzio utaolewa shauliako
Ulivisoga myanda![emoji23][emoji23][emoji23]Warabu bado wapo sana hapo Tinde , Didia, Mwangoye, Bukene, Nata, Nzega (ndo kama kwao na chimbuko lao ) Igunga, Choma Cha Nkola, Nkinga, Isaka, Igusule ,Itobo . Hizi ni sehemu za Tabora na Shinyanga pande za usukumani achia mbali pande za Wanyamwezi huko kama Mabama, Usoke, Kaliua, Urambo napo Waarabu wamejazana
Faidi ya waarabu nihizi zifuatazo
1 magofu yao ya kaole kilwa mjimkongwe magofu haya shirikali inachukua pesa nyingi kutoka kwa watalii kila mwaka hata izo shule ulizo soma zina mchango wa hiyo pesa
2 jiji la dar walio lianzisha wao na bandali yake na bandali ya bagamoyo
3 kishwahili tunacho tumia kama rugha ya taifa kina maneno mengi ya kiarabu
Yote haya waarabu hawanufaiki na chochote bali sisi ndio tunao nufaika
Alie Jenga shule ni mzungu baada ya kuujumu uchumi wetu na kupandikiza vibalaka wake wanao tutesa mpaka kesho chunguza mafisadi wote wamesoma kwenye hizo shule
Sikumbuki kama tulitawaliwa na Waarabu, labda Zanzibar.