Ni shule gani ya sekondari ilijengwa na wakoloni Waarabu halafu Serikali ikaitaifisha baada ya uhuru 1961?

Ni shule gani ya sekondari ilijengwa na wakoloni Waarabu halafu Serikali ikaitaifisha baada ya uhuru 1961?

Ni kweli lkn alikonipeleka huko alihakikisha anajenga shule, hospitali na kanisa. Sasa kuna yule aliyeniuza kama nyanya sokoni, anitesa na kuua kabisa
Aliyofanya biashara ya utumwa ni mzungu,alipogundua mashine akapiga marufuku biashara ya utumwa na ikafa,afrika mashariki ni Kama haikuwepo ukilinganisha na kule Africa magharibi,huko magharibi hakufanya mwarabu hiyo biashar
 
(The Stone Town was host to one of the world's last open slave markets, presided over by Arab traders until it was shut down by the British in 1873)

Waarabu kwa nini walijenga stone town Slave market in zanzibar kama wao hawakufanya biashara ya utumwa?

Soko la watumwa la stone town lilikuwa linaendeshwa na jamii gani?

Pia soko la watumwa la Bagamoyo lilijengwa na jamii gani na lilikuwa linaendeshwa na nani kama sio waarabu?
 
Uwe unasoma na kuelewa,acha kukurupuka
 
Waafrika wengi wanazamia nchi za wazungu ambao ni wakristo japo upagani nao upo huko, cha ajabu waafrika waislam hakimbilii nchi za kiarabu ambazo ni imani moja. Nchi za kiarabu hazina ustaarabu ni vuruguvurugu tu za dini yao. Kukomesha upuuzi huo mashirikisho ya michezo ulimwenguni yapeleke mashindano ya michezo huku ili kuondoa udinidini usio na tija kwa dunia iliyostaarabika. Kamati ya olimpiki kimataifa nayo wapeleke mashindano yake kwenye nchi ya kiarabu inayojitia wazimu kukumbatia mifumo ya dini katila utawala wake. Dunia iwe sehemu salama kuishi popote bila bughudha
 
Mwarabu hakuiba? Mbona mnamuona Mwarab kama malaika? Kwa hiyo yeye mali alikuwa anatoa kwao analeta hapa nchini?
Muarabu sio malaika ni mtu kama wewe na mimi unaweza kutueleza alicho iba mpaka sasa kwa sababu muarabu alirudi kwao huku kwetu hakuwacha vibalaka aliondoka kama alivio kuja

Lakini wazungu mpaka kesho bado wanatunyonya kupitia vibalaka viake alio pandikiza huku afirika hilo liko wazi hapa tuna eleweshana tu ndugu tueleze muarabu mpaka sasa anamiliki nini huko kuanzia aridhi vibalaka na kadhalika
 
Waarabu nao watu? /akili ya mwarabu mara nyingi ni akili mbaya tu,kuiba, kunyanganya kuteka kujilipua, kuswaga binadamu wenzao kama ng'ombe N. K.
 
Mwarabu kafanya biashara ya utumwa sana

Ila bado anaonekana malaika
Muarabu sio malaika kuhusu utumwa hata babu yako ( watemi) walihusika kuuza watu kwa muarabu muarabu akiuza kwa wazungu,muarabu awezi kuwa malaika hata siku 1 hapa kinacho takiwa ni kweli sio chuki
 
Muarabu sio malaika ni mtu kama wewe na mimi unaweza kutueleza alicho iba mpaka sasa kwa sababu muarabu alirudi kwao huku kwetu hakuwacha vibalaka aliondoka kama alivio kuja

Lakini wazungu mpaka kesho bado wanatunyonya kupitia vibalaka viake alio pandikiza huku afirika hilo liko wazi hapa tuna eleweshana tu ndugu tueleze muarabu mpaka sasa anamiliki nini huko kuanzia aridhi vibalaka na kadhalika
Cha kwanza aliiba watu na kwenda kuwafanya watumwa wake huko Uarabuni. Angalia hapa chini Watumwa waliochoka kutumikishwa na mwarab waliasi huko Busra Iraq mwaka 869

Ukimaliza kubishia huo wizi wao wa binadamu nitakupa vingine walivyoiba
 
Biashara ya utumwa hata babu yako alihusika kuuza watu wao kwa waarabu kisha muarabu akiuza kwa wazungu hilo hali ubishi mpaka sasa Amerika kuna watu weusi wapatao miloni 20 bado Uingereza nk ukweli ulivio mpaka sasa bado wazungu wanatunyoya kupitia vibalaka wao mfano muarabu hapa tz anamiliki nn?
 
Waafrika wengi wanazamia nchi za wazungu ambao ni wakristo japo upagani nao upo huko, cha ajabu waafrika waislam hakimbilii nchi za kiarabu ambazo ni imani moja. Nchi za kiarabu hazina ustaarabu ni vuruguvurugu tu za dini yao. Kukomesha upuuzi huo mashirikisho ya michezo ulimwenguni yapeleke mashindano ya michezo huku ili kuondoa udinidini usio na tija kwa dunia iliyostaarabika. Kamati ya olimpiki kimataifa nayo wapeleke mashindano yake kwenye nchi ya kiarabu inayojitia wazimu kukumbatia mifumo ya dini katila utawala wake. Dunia iwe sehemu salama kuishi popote bila bughudha
Wewe mwenyewe hapa hiyo kometi yako inakutambulisha kuwa ni mdini bali unajificha kwenye uzungu jiweke wazi tu
 
Biashara ya utumwa hata babu yako alihusika kuuza watu wao kwa waarabu kisha muarabu akiuza kwa wazungu hilo hali ubishi mpaka sasa Amerika kuna watu weusi wapatao miloni 20 bado Uingereza nk ukweli ulivio mpaka sasa bado wazungu wanatunyoya kupitia vibalaka wao mfano muarabu hapa tz anamiliki nn?
Basra ni Ulaya?
 
Uwe unasoma na kuelewa,acha kukurupuka
Aliesema waarabu awakufanya biashara ya utumwa akapimwe mkojo kinacho gomba hapa hao watumwa alikuwa anawapata wapi na kuwauza wapi,hili hiwe biashara lazima uuze na kununua
 
Wakristo wengi wa TANZANIA wana chuki hasa zidi ya Waislam hilo linajulikana na Waislam almost wote Tz kwa sababu chuki zidi yao imejengwa toka zamani na ni strategically inayo tumiwa DUNIA zima lkn huwafanikiwa.
 
Maana waarabu walitangulia kuja Tanganyika na Zanzibar kwa kwa miaka zaidi ya 500 kabla wakoloni wazungu hawajaja.
waarabu wahuni wale, wao walikuja kusaka fursa na kutuachia mbegu za waarabu koko wamejaa kibao.
 
Tunachokijua Ni Mkipewa Kiwanja Chote Mnajenge Msikiti Afu Mnaomba Tena Eneo Kwa Jirani Mjenge Maliwato!
 
Warabu bado wapo sana hapo Tinde , Didia, Mwangoye, Bukene, Nata, Nzega (ndo kama kwao na chimbuko lao ) Igunga, Choma Cha Nkola, Nkinga, Isaka, Igusule ,Itobo . Hizi ni sehemu za Tabora na Shinyanga pande za usukumani achia mbali pande za Wanyamwezi huko kama Mabama, Usoke, Kaliua, Urambo napo Waarabu wamejazana
Ulivisoga myanda![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Faidi ya waarabu nihizi zifuatazo

1 magofu yao ya kaole kilwa mjimkongwe magofu haya shirikali inachukua pesa nyingi kutoka kwa watalii kila mwaka hata izo shule ulizo soma zina mchango wa hiyo pesa

2 jiji la dar walio lianzisha wao na bandali yake na bandali ya bagamoyo

3 kishwahili tunacho tumia kama rugha ya taifa kina maneno mengi ya kiarabu

Yote haya waarabu hawanufaiki na chochote bali sisi ndio tunao nufaika

Alie Jenga shule ni mzungu baada ya kuujumu uchumi wetu na kupandikiza vibalaka wake wanao tutesa mpaka kesho chunguza mafisadi wote wamesoma kwenye hizo shule

Kiswahili cha waarabu ndio kinasema “Bandali” , “rugha” , “Shirikali” na “vibalaka”?
 
Sikumbuki kama tulitawaliwa na Waarabu, labda Zanzibar.

Mwanzoni mwa miaka ya 1700, Baada ya Kristo, Sultani wa nchi ya Kiarabu, ya Oman, aliteka Pemba na Kilwa.Na badae miji yote ya Pwani ya Afrika ya mashariki ikawa chini ya utawala wa Sultaani wa Oman. Mwaka wa 1840, Said bin Sultani alihamisha makao makuu ya himaya yake, kutoka Oman, akahamia Zanzibar. Sasa pwani yote ya Afrika Mashariki na Oman Uarabuni, ilikuwa chini ya serikali ya Zanzibar
 
Back
Top Bottom