MINESOPOTAMIA
Senior Member
- Feb 19, 2013
- 166
- 1,006
Kuna jamaa mmoja alikuta timu ipo dakika ya 67 na inaongoza goli tatu kwahiyo akaipa ishinde na akatia ada yake pale.
Mchezo uliisha 3 - 3!
Kuna maumivu makubwa sana kwenye kubeti, wewe kilikukuta nini mpaka ukaona roho itaacha mwili?
Mchezo uliisha 3 - 3!
Kuna maumivu makubwa sana kwenye kubeti, wewe kilikukuta nini mpaka ukaona roho itaacha mwili?