CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Chai, yaan huo upumbavu wa kiwango kikubwa mno. GAME 11 uweke 250k??? A very very very very big MISTAKE...sitosahau mwaka 2017 mkamalia mwenzangu alivyoaga dunia tukiwa kwenye gari tunampeleka hospital..story ilikuwa ni ivi jamaa alibeti timu 11 premier betting akatia 250k ikawa inatoka 110m mechi 6 zilikuwa zinacheza jumamosi, 4 jumapili na moja jumatatu ..zikatoa zote ikawa imebaki moja inacheza jumatatu LIlle vs PSG ..jamaa alishajipa uhakika mazima kuwa PSG anashinda akaenda mpaka kutafuta kiwanja cha kuanza kuje ga ..siku ya mechi PSG kafa 4-2 tukamuona mtu anaishiwa nguvu mara pumzi inatoka kwa shida kumuaisha hospital akafia njian.