Nurain
JF-Expert Member
- Apr 28, 2022
- 2,403
- 5,315
Mkuu bet TU ..Mimi sitakuja kubeti forever...na sijawahi tuNasoma comments...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu bet TU ..Mimi sitakuja kubeti forever...na sijawahi tuNasoma comments...
Ndioa maana anacheka! Nilitaka turudi pale Rau Madukani atuambie alikuwa umbali gani kati yake na muuza Mbege.Huenda Ni Kingai huyo jamaa
Ha ha aaa alikuwa kwnye gari akawa anasema 'mpo chini ya ulinzi' ....Ndioa maana anacheka! Nilitaka turudi pale Rau Madukani atuambie alikuwa umbali gani kati yake na muuza Mbege.
Hukuwa unabet responsibly!! Lazima uwe na nidhamu wakati unabeti, ukishindwa hapo lazima ufilisike.Betting bhana ilinifisili kwenye biashara yangu
Mkuu stake kubwa hiyo halafu unacheza direct win? Bora ungeweka hata double chanceChelsea vs Watford
Tarehe 26/12/2015
Dau 4,900,000/
Chelsea alikuwa na odds 2.0
Nikampa ikawa inaleta 9,800,000/
Enzi hizo hakuna kodi
Chelsea kapewa Penalt dakika ya 80 Oscar kapaisha
Game ikaisha 2-2
Jaribu mkuu anza na stake ndogoMkuu bet TU ..Mimi sitakuja kubeti forever...na sijawahi tu
Kwanini huku cashout?Nilisuka mkeka nikausibiria karibu mwezi na nusu niliweka 20K, ilibaki game moja tuu nipige kama 24M, huu mkeka nilikuwa nimeupotezea kabisa sikuwa nafuatilia a hiyo siku nacheck history naona bado haujawa settled zimebaki mechi mbili na ya mwisho ni hiyo ya west Bromwich vs Man U, 14th February, nimempa man u ashinde....dk ya 2 kaipigwa, game imesha draw...ile siku nilipata msong wa mawazo nikaenda kulala
Next time cheza Asian handicapNdio hivyo mhindi nae kuna mechi akiona zinatoa kwenye DC hua anamiinya vibaya yaan anakulazimisha uende direct na ukienda direct ni very risk lolote linaweza kutokea
Next time usibeti kwenye cup games kama FA cup, coppa italia, carabao cup, DFB pokal, KVNB cup n.kUmeona sasa hapo,mechi iliyopita Udinese 2-1 Monza,Udinese alipata ushindi ugenini,jana akaja kupigwa home.
ods mechi ya jana ilikua zinalingana kwa timu zote izo zilikua ods 2 na points kila timu.kwa maana walikua wanatoshana nguvu apakua na mnyonge.
Big up sana[emoji123]Next time usibeti kwenye cup games kama FA cup, coppa italia, carabao cup, DFB pokal, KVNB cup n.k
Kwenye mechi hizi timu nyingi kibwa huwa hawayapi umuhimu haya makombe kwahiyo hupanga wachezaji wengi wa kikosi B ambao hawapati muda wa kucheza kwenye ligi kuu. Timu ndogo huwa zinakamia kwani hayo ndio makombe yao makubwa
udinese sasa havi mcheze 2+ hana ubishiNilimuomba untd na udinese
Over 1.5,wakaondoka na laki
Wewe ni Mimi kabisaRudi kubeti mkuu chagua timu maalum ambazo utatembea nazo na double chance alafu usibeti kilasiku.
sahivi minatembea na hawa wahuni[emoji117] Union Berlin,Napoli,Arsenal na Madrid hao jamaa awajawai kunifelisha kwenye double chance sema steck iwe nono sasa.
Kosoa kistaarabu, kitu hufanyi wewe isiwe nongwa watu wengine wasifanyeKubeti ni upumbavu ..