Ni siku gani kubeti kulitaka kukutoa uhai?

Ni siku gani kubeti kulitaka kukutoa uhai?

Sijawahi kupigwa parefu sana.

ila hakuna siku roho iliniuma kama siku hiyo mwaka 2017 nilikuwa nimechalala mbaya.

nikaweka buku mbili team zipo kama 8. huwa sichezi direct win. wengine wote nilicheza option za magoal na gg.

zikatoa fresh match ya mwisho imebaki team inaitwa Ural sijui ilikuwaje nikawa nimeipa win mazima.
Dkk ya 70 imeweka goal naona pesa hii hapa... hee dkk ya 85 imechomolewa ngoma ikalala 1-1

ile team kila nikiionaga huwa nakumbuka ilichonifanyia maana kwa jinsi nilivyokuwa nmechalala ningepata ile laki mbili ningeona kama milion mbili.
Ila siku hz ni kama nimeacha tu kubet maana nabet mara moja moja sana. Tena naweza weka mkeka hata nikasahau kama nimebet.
 

Ilipigwa Millioni lakini bila Kubet Sidhani kama ningeshika kiasi kikubwa chapesa kama kile ndomaana nasema SIACHI ni kupumzka tu na kuendelea anyway wengi tunakwama kwa kubet prematch mm naona LIVE Bet ndo nzuri zaidi na sijawai kubet prematch miaka imepita sasa pamoja na yote group la whatsapp lipo tunapeana mbinu na code amna kuuziana wala utoto utoto
Link juu
 
Nilisuka mkeka nikausibiria karibu mwezi na nusu niliweka 20K, ilibaki game moja tuu nipige kama 24M, huu mkeka nilikuwa nimeupotezea kabisa sikuwa nafuatilia a hiyo siku nacheck history naona bado haujawa settled zimebaki mechi mbili na ya mwisho ni hiyo ya west Bromwich vs Man U, 14th February, nimempa man u ashinde....dk ya 2 kaipigwa, game imesha draw...ile siku nilipata msong wa mawazo nikaenda kulala
Kwanini huku cashout?
 
Umeona sasa hapo,mechi iliyopita Udinese 2-1 Monza,Udinese alipata ushindi ugenini,jana akaja kupigwa home.
ods mechi ya jana ilikua zinalingana kwa timu zote izo zilikua ods 2 na points kila timu.kwa maana walikua wanatoshana nguvu apakua na mnyonge.
Next time usibeti kwenye cup games kama FA cup, coppa italia, carabao cup, DFB pokal, KVNB cup n.k

Kwenye mechi hizi timu nyingi kibwa huwa hawayapi umuhimu haya makombe kwahiyo hupanga wachezaji wengi wa kikosi B ambao hawapati muda wa kucheza kwenye ligi kuu. Timu ndogo huwa zinakamia kwani hayo ndio makombe yao makubwa
 
Next time usibeti kwenye cup games kama FA cup, coppa italia, carabao cup, DFB pokal, KVNB cup n.k

Kwenye mechi hizi timu nyingi kibwa huwa hawayapi umuhimu haya makombe kwahiyo hupanga wachezaji wengi wa kikosi B ambao hawapati muda wa kucheza kwenye ligi kuu. Timu ndogo huwa zinakamia kwani hayo ndio makombe yao makubwa
Big up sana[emoji123]
 
Rudi kubeti mkuu chagua timu maalum ambazo utatembea nazo na double chance alafu usibeti kilasiku.
sahivi minatembea na hawa wahuni[emoji117] Union Berlin,Napoli,Arsenal na Madrid hao jamaa awajawai kunifelisha kwenye double chance sema steck iwe nono sasa.
Wewe ni Mimi kabisa
 
Back
Top Bottom