Kuna watu wanakuja kujiaibisha hapa.
Eti mtu anashangaa mtu ku-stake 250,000 kwa timu moja anasema ni chai! Si ushamba huu!
Mi mwenyewe hapa kapuku, kuna kipindi mwaka 2018 nilikuwa napiga deiwaka sehemu kwa mshahara wa 300,000, wakati huo huo nilikuwa na mishe sehemu nyingine kwa 180,000 kwa mwezi. Lakini kwa kipato hicho cha kikapuku nishawahi kustake 950,000 ambayn kwangu ilikuwa nyingi sana. Sasa mtu anatokea anashangaa 250,000!
Kuna mwamba hapa JF
Going Concern alikuwa anastake 4,000,000. wakatokea watu wakawa kama wanafurahi hivi akiliwa, mwamba akapotea moja kwa moja, nadhani atakuwa anabeti kimya kimya anatuona sisi wengine tuna mawazo ya kimasikini. Ila mimi alikuwa ananiinspire sana na mastake yake mlima.