macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Siyo hasira, hauhitaji tamaa!Huu mchezo hauhitaji hasira [emoji23][emoji23][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo hasira, hauhitaji tamaa!Huu mchezo hauhitaji hasira [emoji23][emoji23][emoji1787]
Kwa hayo maelezo yao usiwaamini kiasi hicho, wangekuwa wana uwezo wa kupata faida kwenye kubeti wasingekaa vijiweni wangepata mitaji wakafanya biashara huku wakiendelea kubeti.Mtaani kwangu vijana wengi hawana kazi zaidi ya kuhama vijiwe kuanzia asubuhi hadi kiza kinapoingia, lakini cha kushangaza zaidi maisha yanaendelea kama kawa, wanakula na kupata mahitaji yao ya msingi. Nilijaribu kuwauliza vijana wawili watatu majibu waloyonipa ni kwamba wanaishi kwa kutegemea kubeti, na kuongezea kuwa hawategemei beti za mpira bali kasino na michezo mingine ambayo inawapa pesa ya hapo kwa hapo.
Sasa swali langu ni kwamba je, hili lisemwalo ni kweli? Na kama kweli ni makampuni yapi yenye michezo ya aina hiyo?
main point ya kubeti ni[emoji115] hiyo,ukipotea hapo na pesa imepotea.Siyo hasira, hauhitaji tamaa!
Huwezi kuendesha maisha kwa kubeti. Na siku utakapojaribu kufanya hivyo basi ujue kuwa unaelekea pabaya sana. Ninayekuambia hivi ni mteja mzuri sana wa kubeti. Halafu kingine. Naona watanzania wengi wanashangaa sana eti kubeti imekuwa kama janga la Taifa.Mtaani kwangu vijana wengi hawana kazi zaidi ya kuhama vijiwe kuanzia asubuhi hadi kiza kinapoingia, lakini cha kushangaza zaidi maisha yanaendelea kama kawa, wanakula na kupata mahitaji yao ya msingi. Nilijaribu kuwauliza vijana wawili watatu majibu waloyonipa ni kwamba wanaishi kwa kutegemea kubeti, na kuongezea kuwa hawategemei beti za mpira bali kasino na michezo mingine ambayo inawapa pesa ya hapo kwa hapo.
Sasa swali langu ni kwamba je, hili lisemwalo ni kweli? Na kama kweli ni makampuni yapi yenye michezo ya aina hiyo?
Ndio hivyo ili uwe nguli kwenye beting lazima upigwe sana na muhindi mpaka akili ikukae sawa, ukishakua ndo unaanza kuchagua timu, mechi na ligi.Ulikurupuka boss mechi za kirafiki uwa hatubetii
Halafu sikukoma hata msimu huu Chelsea kaniua mara 2Nakumbuka hii ngoma ndio ilisababisha uape kutoibetia chelsea tena?
Ukitaka ona watz wachawi, bet ushinde au uliweKuna watu wanakuja kujiaibisha hapa.
Eti mtu anashangaa mtu ku-stake 250,000 kwa timu moja anasema ni chai! Si ushamba huu!
Mi mwenyewe hapa kapuku, kuna kipindi mwaka 2018 nilikuwa napiga deiwaka sehemu kwa mshahara wa 300,000, wakati huo huo nilikuwa na mishe sehemu nyingine kwa 180,000 kwa mwezi. Lakini kwa kipato hicho cha kikapuku nishawahi kustake 950,000 ambayn kwangu ilikuwa nyingi sana. Sasa mtu anatokea anashangaa 250,000!
Kuna mwamba hapa JF Going Concern alikuwa anastake 4,000,000. wakatokea watu wakawa kama wanafurahi hivi akiliwa, mwamba akapotea moja kwa moja, nadhani atakuwa anabeti kimya kimya anatuona sisi wengine tuna mawazo ya kimasikini. Ila mimi alikuwa ananiinspire sana na mastake yake mlima.
Leo unampajeAfu sikukoma hata msimu huu Chelsea kaniua mara 2
Hapa over 1.5 siielewi kabisa. Huyu jamaa leo anasepa na kijiji[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Liverpool leo anahatihati ya kuondoka na watu mapemaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bongo wajuaji wengine. Wakashangar Nigeria huko raia wanatupia stake za maana. Watu washazoe jero mechi 30.[emoji2][emoji2][emoji2] Sasa hapa si tunachangia wenzetu waliopo seriousKuna watu wanakuja kujiaibisha hapa.
Eti mtu anashangaa mtu ku-stake 250,000 kwa timu moja anasema ni chai! Si ushamba huu!
Mi mwenyewe hapa kapuku, kuna kipindi mwaka 2018 nilikuwa napiga deiwaka sehemu kwa mshahara wa 300,000, wakati huo huo nilikuwa na mishe sehemu nyingine kwa 180,000 kwa mwezi. Lakini kwa kipato hicho cha kikapuku nishawahi kustake 950,000 ambayn kwangu ilikuwa nyingi sana. Sasa mtu anatokea anashangaa 250,000!
Kuna mwamba hapa JF Going Concern alikuwa anastake 4,000,000. wakatokea watu wakawa kama wanafurahi hivi akiliwa, mwamba akapotea moja kwa moja, nadhani atakuwa anabeti kimya kimya anatuona sisi wengine tuna mawazo ya kimasikini. Ila mimi alikuwa ananiinspire sana na mastake yake mlima.
Ukiweka stake kubwa ukala watu ni kama hawafurahi, ukiliwa watu wanakenua kiaina...something is not right katika hili.Ukitaka ona watz wachawi, bet ushinde au uliwe
[emoji41][emoji23]Kijiji kinazolewa na jogoo.Liverpool leo anahatihati ya kuondoka na watu mapemaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]