Ni siku gani kubeti kulitaka kukutoa uhai?

Mtaani kwangu vijana wengi hawana kazi zaidi ya kuhama vijiwe kuanzia asubuhi hadi kiza kinapoingia, lakini cha kushangaza zaidi maisha yanaendelea kama kawa, wanakula na kupata mahitaji yao ya msingi. Nilijaribu kuwauliza vijana wawili watatu majibu waloyonipa ni kwamba wanaishi kwa kutegemea kubeti, na kuongezea kuwa hawategemei beti za mpira bali kasino na michezo mingine ambayo inawapa pesa ya hapo kwa hapo.

Sasa swali langu ni kwamba je, hili lisemwalo ni kweli? Na kama kweli ni makampuni yapi yenye michezo ya aina hiyo?
 
Kwa hayo maelezo yao usiwaamini kiasi hicho, wangekuwa wana uwezo wa kupata faida kwenye kubeti wasingekaa vijiweni wangepata mitaji wakafanya biashara huku wakiendelea kubeti.
 
Mtaani kwangu vijana wengi hawana kazi zaidi ya kuhama vijiwe kuanzia asubuhi hadi kiza kinapoingia, lakini cha kushangaza zaidi maisha yanaendelea kama kawa, wanakula na kupata mahitaji yao ya msingi. Nilijaribu kuwauliza vijana wawili watatu majibu waloyonipa ni kwamba wanaishi kwa kutegemea kubeti, na kuongezea kuwa hawategemei beti za mpira bali kasino na michezo mingine ambayo inawapa pesa ya hapo kwa hapo.

Sasa swali langu ni kwamba je, hili lisemwalo ni kweli? Na kama kweli ni makampuni yapi yenye michezo ya aina hiyo?
Huwezi kuendesha maisha kwa kubeti. Na siku utakapojaribu kufanya hivyo basi ujue kuwa unaelekea pabaya sana. Ninayekuambia hivi ni mteja mzuri sana wa kubeti. Halafu kingine. Naona watanzania wengi wanashangaa sana eti kubeti imekuwa kama janga la Taifa.

Nadhani ni kwa sababu kubeti ni jambo geni hapa nchini. Ukweli ni kwamba duniani kote watu wanabeti sana. Kama Ulaya wazee wanabeti kweli kweli. Ila siku zote, beti kwa kiasi. Fanya kama biashara. i.e. anza na ''mtaji'' mdogo, beti michezo rahisi ya dau dogo. Ongeza dau kadiri unavyopata uzoefu na jitahidi utumie fedha unayoshinda kuongeza mtaji.
 
Kuna watu wanakuja kujiaibisha hapa.
Eti mtu anashangaa mtu ku-stake 250,000 kwa timu moja anasema ni chai! Si ushamba huu!

Mi mwenyewe hapa kapuku, kuna kipindi mwaka 2018 nilikuwa napiga deiwaka sehemu kwa mshahara wa 300,000, wakati huo huo nilikuwa na mishe sehemu nyingine kwa 180,000 kwa mwezi. Lakini kwa kipato hicho cha kikapuku nishawahi kustake 950,000 ambayn kwangu ilikuwa nyingi sana. Sasa mtu anatokea anashangaa 250,000!

Kuna mwamba hapa JF Going Concern alikuwa anastake 4,000,000. wakatokea watu wakawa kama wanafurahi hivi akiliwa, mwamba akapotea moja kwa moja, nadhani atakuwa anabeti kimya kimya anatuona sisi wengine tuna mawazo ya kimasikini. Ila mimi alikuwa ananiinspire sana na mastake yake mlima.
Ukitaka ona watz wachawi, bet ushinde au uliwe
 
Bongo wajuaji wengine. Wakashangar Nigeria huko raia wanatupia stake za maana. Watu washazoe jero mechi 30.[emoji2][emoji2][emoji2] Sasa hapa si tunachangia wenzetu waliopo serious

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wanao bet na wale wa kalynda wanatofauti gani??, Wote si watafutaji au?
 
Kuna mechi moja ilikua ya ufunguzi wa ligi ya Ujerumani kama sio 2020 au ilikua 2021 kati ya Bayern Munich vs Tsg Hoffenheim ilibaki yenyewe tu katika mkeka wa timu 10.

Kilichotokea Bayern alipigwa kama ngoma 🥁 sikuamini, nilikua nimekaa sehemu nikakuta tu simu Iko chini kioo kimevunjika😅😅😆
 
Poleni sana wa kamaria betting sio kitu rahisi cha msingi usicheze kwa tamaa sana, then ukipata faida itoe kabisa kapeleke bank huko iwe akiba yako au kaongeze kwenye mtaji wako!

Option mbaya kuliko zote ni direct wine tena wakati mwingine inakuwa na odds kubwa lazima ikuvutie sana, pia kizuri ni kujitahidi kuziangalia ligi pia mfano ligi ya Japan huwa hawafungani sana magoli lkn ligi ya Ujerumani kwenye magoli ni nzuri lkn vyote ni kumtanguliza Mungu lkn pia usicheze kiwango ambacho hauwezi kumudu kukipoteza.
 
Watu wamelala mapema leo, wapumzishe akili kesho tuamke na Arsenal, Napoli, Union Berlin na Spurs.
 
Back
Top Bottom