Ni siku gani kubeti kulitaka kukutoa uhai?

Kuna watu wengine wanachukulia betting kama mzaha na kuna watu wapo serious wanaoichukulia kama ni kazi mimi kuna rafiki yangu kajenga nyumba nzuri ya kisasa na kanunua gari la kutembelea pamoja na biashara kwa kazi hii ya kubeti hapo Kariakoo ndio usiseme kuna wadau kibao wanavimba hapa mjini kwa ajili ya hii kazi
 
Hii game ilituumiza wengi

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Coaches are hired to be fired.....

MIKEKA INAWEKWA ILI ICHANIKE
 
Ni kweli kuna wana wanafanya maisha kwa beting hilo mbona lipo wazi, ukiwa na mtaji ukatuliza kichwa tamaa ukatuweka nyuma una make, nina akaunti kabisa bank navuna kidogo naweka bank kwenye tozo kule.
 
Kuna Royal Antwerp, galatasaray, club blugge, Rb leizpig na Paimeras ndo naishi nao hao jamaa, stake kubwa..
Galatasaray kaka mtoe ni mpumbavu mmoja hivi. Jana kakalia chumba dakika ya 91.

First half yote kaongoza
 
Nchi nyingi zenye biashara kubwa za sportsbet
Kwa asilimia kubwa zina high rate of unemployment
Eg Nigeria, Ghana, Kenya etc
Nimewaza kwa sauti
 
Nchi nyingi zenye biashara kubwa za sportsbet
Kwa asilimia kubwa zina high rate of unemployment
Eg Nigeria, Ghana, Kenya etc
Nimewaza kwa sauti
Ni kweli lakini naona hata hapa Tanzania sportbet companies ni nyingi mno
 
Yeah vijana wanajaribu kukomaa na sportbert kama chanzo cha kipato

Japo ni wachache sana wenye uwezo wa kupata pesa kutoka kwenye michezo hio

Wengi hupoteza fedha nyingi kidogo kidogo
 
Leo nmeamua kufanya maamuzi ya kuachana na betting [emoji1487]labda ni stake ntapojisikia Wins zimekua chache kuliko loss [emoji23]acha nijiepushe na heart attack wakuu
 
Duuuh walirudishaje yote hayo
 
Yaani unataka tuamini kuwa makampuni ya betting yanapata hasara kwa kutumia pesa nyingi kuliko wanazovuna kutoka kwa bettors? Kwenye hiyo kamari wanaopoteza ni wanaocheza, wanaoshinda ni wachache sana kuliko wanaoliwa.

Ukitembekea wavuti ya TGB utagundua jinsi ambavyo makampuni ya betting yanavyovuna faida kubwa. Kwa kuthibitisha hilo makampuni y betting kibao ya kibongo yameanzishwa, kwa mwaka huu tu kampuni mpya zisizopungua tatu za betting zimeingia sokoni.

Vv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…