Hardbody
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 4,139
- 4,640
Na mimi nataka niijaribu mkuu ila nchi 43 smartNilipoanza kununua flat TV nilianza na LG ya LED 43" ila aliporudi mbabe wa kioo bwana Hitachi kwa jina la TCL sikujishauri kuvuta smart TV ya 55" kwao, kutokana na durability ya product zao. Nna imani hiki kioo kitapiga kazi kwa hadi miaka 15 mbele bila tatizo (kuna tv ya Hitachi ya 21" ilinunuliwa na dingi 1998 na mpaka sasa inapiga kazi, imekuwa inahama vyumba tu pale home na kwa sasa iko ghetto la msaidizi wa kazi wa home ikiwa haijachora hata mstari mmoja)