Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

Umesomeka boss
 
Sema wallah?????

Unapoteza watu kijana.
 
Brand comes first

Brand matters

Tatizo tunatumia umasikini wetu kudowngrade hizo brand kubwa..kumbuka hazikufika hapo bahati mbaya

Tukubali tu…SONY,LG,SAMSUNG is the best

Quality,technology and durability and value for money

Hapo kwenye value for money ndio huwa tunapigwa

Hili dubwana la kuitwa BRAND lina mambo yake mengi sana, na sio kwenye Tech to hata kwenye huduma zingine tu...... overpriced

Demu wangu alikomaa birthday yake nimpeleke dinner kwenye migahawa yenye brand kubwa
Yaani tulikula chips kuku tu na juice lakini hela niliyolipa kwa mtaani nakula chips kuku wiki nzima[emoji23][emoji23]
Namwambia hii ni kuchezea hela tu akaniletea habari za value for money..... nikamuangalia nikampotezea
 
Mayu unazingua ujue katika Betting unaweka stake mpaka za mil 2 ila kumpeleka mpenzi wako sehemu nzuri unaona tabu!
 

Kwahy ukaamua ututolee mfano sis wa star X!niko na yangu inch 55 milion 1 na lak mbili sijawah kujuta kuinunua
 
Mayu unazingua ujue katika Betting unaweka stake mpaka za mil 2 ila kumpeleka mpenzi wako sehemu nzuri unaona tabu!

Mkuu ukiona na vipigo ninavyopekea sometimes utanionea huruma [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu mie ungaunga mwana nataka nikae humu! Maoni yenu wakuu Mayu Chief-Mkwawa View attachment 2499416
 
Next time funga tracker kama ni tv yenyewe kubwa na ni top brand.
Naomba msaada wa maelezo ya kuipata na kuifunga hii kitu (tracker). Nimehamia nje ya mji/makazi mapya kidogo. Nina hofu sana na usalama hasa ukizingatia nyumbani anashinda house-girl peke yake. Nataka nifunge hii kitu
 
LG utafurahia sana. Kama hela ipo nunua kubwa zaidi, 55" na kuendelea. Nilinunua LG 55" mahsusi kwa World-Cup, imenifanya sasa nashindwa kuangalia mpira kwenye TV zingine kabisa; kuna ladha nakosa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…