P635 mkuu Chief-MkwawaAdvantage kubwa ya TCL vs wengine ni hio Android tv, utapata Software ambayo ime mature.
Naona ina Dolby vision kama una internet 40mbps kupanda uta enjoy Quality yake.
Ukileta model yake tunaweza kuiangalia zaidi
Na pia naomba nipate elimu kidogo Adroid tv vs Google tvP635 mkuu Chief-Mkwawa
Tv nzuri, ina decode hadi Av1 hivyo haitakula sana MB kama TV za kawaida na unaweza angalia Full HD youtube 1080p na 4mbps ya TTCL, ina standard nyingi kama Hdr10 na HLG,P635 mkuu Chief-Mkwawa
Android tv na Google tv ni kitu kimoja mkuu, ni muonekano tu ndo tofauti (launcher) haibadili functionality yoyote ya Android.Na pia naomba nipate elimu kidogo Adroid tv vs Google tv
P735Naomba model yake mkuu Keyser Söze
Hiyo HDMI 2.1 siyo ya kweli ni ya jina tu ila haina full features za HDMI 2.1 isipokuwa eARC pekee.Tv nzuri, ina decode hadi Av1 hivyo haitakula sana MB kama TV za kawaida na unaweza angalia Full HD youtube 1080p na 4mbps ya TTCL, ina standard nyingi kama Hdr10 na HLG,
Issue kubwa inatumia Panel ya VA, ambazo quality yake si nzuri kama IPS, hasa unapoiangalia kwa pembeni, hivyo angalia mwenyewe kama unaiweka sebule kubwa ambayo ina makochi pembeni vyema utafute yenye ips na kama unatumia tu Gheto na unaangalia straight kwa mbele, ni tv nzuri ya kisasa mkuu.
Pia Hdmi yake ni 2.0/2.1 incase kama una vifaa vya kisasa vinavyotoa resolution kubwa kama Computer.
Ndio maana nikaandika 2.0/2.1 nafahamu ni partial 2.1 hata website yao wameandika.Hiyo HDMI 2.1 siyo ya kweli ni ya jina tu ila haina full features za HDMI 2.1 isipokuwa eARC pekee.
No 120Hz refresh rate (Kama unataka TV inayosupport true HDMI 2.1 kwa ajili ya PS5, hakikisha hiyo port imeandikwa HDMI 2.1 (120Hz))
No VRR
No ALLM
https://www.youtube.com/watch?v=qo9Y7AMPn00
Lakini kwenye website ya TCL wenyewe wameelezea na maelezo ya kutosha kabisa juu ya utofauti wa Android TV na Google TV. Wametoa hadi points ambazo sanasana zinaonesha kuwa Google TV ndio bora zaidi.Android tv na Google tv ni kitu kimoja mkuu, ni muonekano tu ndo tofauti (launcher) haibadili functionality yoyote ya Android.
Kama zipi mkuu weka linkLakini kwenye website ya TCL wenyewe wameelezea na maelezo ya kutosha kabisa juu ya utofauti wa Android TV na Google TV. Wametoa hadi points ambazo sanasana zinaonesha kuwa Google TV ndio bora zaidi.
Mi naona tofauti ipo hata kwenye functionality la sivyo TCL wasingeelezea uwepo wa tofauti hizo[emoji2960][emoji2960]
@Chief-Mkwawa niangalizie hii mkuuP735
P635 na P735 ni kama A33 na A53 moja ya bei kidogo na nyengine ipo chini kidogo.@Chief-Mkwawa niangalizie hii mkuu
Nunua vingine tuJamani msaada, wadau flat yangu na king'amuzi Cha DStv vimekuwa na tabia ya kujibonyeza (hata usiposhika rimoti) Na ukisema ushike mda mwingine inajibonyeza hovyo hovyo Nafaka Accumen Mo Unavoidable Servant Reuben Challe
Hizi decoder mpya flash ni kwa ajili ku update tu decoder. Haina function nyingine. Hata ku record huweziFlash dstv nafikiri ni kwa ajili ya PVR, kurecord vipindi vya TV ukiwa haupo Nyumbani. Mfano kuna mechi ya mpira mchana haupo nyumbani itarecord ukirudi uangalie.
Dstv Explora na Dstv pvr zote zina uwezo wa kurecord.Hizi decoder mpya flash ni kwa ajili ku update tu decoder. Haina function nyingine. Hata ku record huwezi
Fafanua kidogo kama hutojal kwa lugha ya laymen.Advantage kubwa ya TCL vs wengine ni hio Android tv, utapata Software ambayo ime mature.
Naona ina Dolby vision kama una internet 40mbps kupanda uta enjoy Quality yake.
Ukileta model yake tunaweza kuiangalia zaidi
Dstv Explora na Dstv pvr zote zina uwezo wa kurecord.
Ili kustream 4k ambayo ipo compressed kama youtube ama Netflix, Amazon prime na app nyengine za Bure kama stremio unahitaji angalau 25mbps speed ya internet ila inashauriwa 40mbps kwa uhakika zaidi.Fafanua kidogo kama hutojal kwa lugha ya laymen.
Upgrade decoder yako mkuu kama unataka hizo functionality.View attachment 2500417
Hii remote ni ya decoder ya DSTV nimenunua wakati wa World katika hizo ulizotaja ni ipi?
How? Nibadilishe decoder?Upgrade decoder yako mkuu kama unataka hizo functionality.