Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

Ndugu hatuzungumzii wapi pa kununua tunazungumzia brand kama brand.
 
Wewe kubali hujui
I buy things from authorized sources, hayo mengine hata nisipoyajua hata kama yapo hayana maana kwenye maisha yangu maana hayaniongezei chochote.

Najua counterfeits products hazijawahi kuisha Duniani lakini sihangaiki nazi kwa sababu nanunua vitu kutoka kwenye authorized sources.

Bora nisiyajue tu.
 
Counterfeits products hazijawahi kupotea Duniani na hazitapotea, ni wewe kujua ni namna gani usiuziwe counterfeits products. Tatizo la kwanza liko kwa wanunuzi na sio brand, ukitaka uuziwe fake brand ni wewe mwenyewe.
Sasa ulivokua unabwatuka eti Samsung hakunaga fake products ulikua unawashwa na damu ya hedhi ama?
 
We jamaa Xiaomi naye anazo simu expensive. Watu wengi wanaojaribu kuelezea hii mada kupitia reference ya simu naona wanaboronga. Hata Samsung ana A series ambazo ni simu za chini na kati ndio kama hizo TV zao za laki sita. Kama bajeti ni laki sita na nusu nunua Hisense
 
Counterfeits products hazijawahi kupotea Duniani na hazitapotea, ni wewe kujua ni namna gani usiuziwe counterfeits products. Tatizo la kwanza liko kwa wanunuzi na sio brand, ukitaka uuziwe fake brand ni wewe mwenyewe.
Kwahiyo sasa umekubali kuwa zipo?
 
Kwa maoni yangu,
Tv zenye ubora kuanzia quality ya picha, software & hardware

1. Sony
2. LG
3. Skyworth
4. Samsung (ubahatishe OG & latest series)
5. HISENSE
6. TCL
Halafu yatafata makampuni mengine ,
ya kawaida
Mbona sijaona popote mkitaja Sahara?
 
So ipi ni bora hapo?.
 
So ipi ni bora hapo?.
Google TV ndio bora kwa sababu inaoffer features nyingi nzuri kuliko Android TV. Pia kwenye Google TV unaweza Usearch content kirahisi across the web wakati Android TV inakulimit kusearch kwenye installed apps. Kingine Google TV zipo well optimized na mara nyingi ni cheaper than Android TV
 
Nikukumbushe tu now dayz xiaomi yupo kati ya namba tatu au nne hapo na bwana sharp org usimsahau kabisa
 
Nikukumbushe tu now dayz xiaomi yupo kati ya namba tatu au nne hapo na bwana sharp org usimsahau kabisa
Xiaomi anazo hadi transparent TV niliziona AliExpress zinauzwa milioni 22, sasa sijui zipo kweli au ndio nimepelekwa chaka[emoji38][emoji38] Lakini huyu jamaa (Xiaomi) kwenye bei za vitu vyake kama laptops na TV naona bei zimechangamka[emoji28][emoji28] tofauti ilivyo kwa simu zake
 
Kwa kuongezea bila kumpigia mtu chapuo.Kwa miaka mingi nimekua ninanunua tv used toka Uk kwa bwana Abdulwahid na bei zake ni nzuri last time nilikua na hii Phillips nikauza na nikawa na sharp sema domestic violence imefanya iende na maji . USHAURI OMBA UTUMIWE MODEL no kisha soma reviews na uendlee na maisha .Now ninafanya saving nidake lg 4k toleo lolote kati ya mwaka 2018 mpaka now .Ngoja niupload picha ya jiwe la phillips na model ya lg nayotaka kuidaka
 

Attachments

  • Screenshot_20230120-130121_Telegram.jpg
    53.8 KB · Views: 59
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…