Ni SMS yangu ya mwisho kwake. Je, nimekosea?

Mentor hebu njoo uone huu utopolo. This was somebody I know a year ago. Childish! Egoistic! Narcissistic! Sadistic! Misogynistic! Pathetic!

Thank you super mentor for all you do to help those who need your angelic touch!

We cherish and appreciate you 🙏🏿🙏🏿🙏🏿😘😘😘
 
si umtag huyo mentor? unaturingishia?

wewe itakua ni mix ya msukuma+mhaya
 
Hayo ni maneno ya mwanaume mwenye uchungu wa kuliwa pesa zake bila kupata mzigo
 
Tegemea kuambiwa ulisha achwa hata kabla ya kukamilisha hiyo research yako, tegemea majibu simple na short sana kutoka kwa huyo unayemuita sample yaliyobeba ukweli wako mtupu kiasi cha kukuwekea hasira na uchungu moyoni mwako.

Kamwe mwanaume huwezi kushindana na mwanamke ambaye hujamlala na kumtia mimba ni mvulana pekee ndiye anayeweza kufanya hivyo

Ukiona hujamlala mwanamke au kumpa mimba epuka sana kulumbana nae utakuja kujiua bure
 
Say to enjoy your life tulikuwa na good time naona sasa kila mtu afanye mambo mengine, all in all badilika umri unakutupa mkono
 
Wanaume huwa na maneno machane hutufai kiumeni
 

Childish

Grow up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…