Ni SMS yangu ya mwisho kwake. Je, nimekosea?

Unafeli bab,
Kwanini usipige kimya tu uendelee na mitkasi mingine kimyakimya
Meseji hii haioneshi hukumpenda,inaonesha umekimbia pambano
Piga kimya endelea na kazi zako.

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Umegonga, mzigo hujapewa. Huyo mwanamke hakuwa na mahusiano na wewe, wewe ndiye ulikuwa na mahusiano naye.
 
🤣🤣🤣
 
Sizitaki mbichi hizi. Soma dogo achana na mapenzi. Tena unahonga tu daily kama bwege unadai unafanya research. Soma achana na huu upuuzi.
 
Wenzie wanaondokaga kimyakimya halafu siku isiyo na jina anaibuka"baby nimekumiss,nikuone basi!hapo ujue vyuma vimeumana anatafuta lubricant [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hapo ndo malegend wanalipa kila kitu,unajifanya gentlemen ili ajae vizuri,unapiga tukio kisha unaanza kumnyanyasa mpaka ajikatae

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Umekosea sana dogo, hapa hujaonesha uwanaume halisi. Mwanamke haachwi hivyo kwa kashfa hatakama alionesha dalili za kukuacha. Yaani inaonekana Una maumivu makubwa ndani ya moyo wako so unatafuta ahueni kwa kutaka kumuumiza kwa sms yako iliyokosa ustaarabu. Ila jua tu hata uje kuonana nae baada ya miaka mingapi jua tu atakudharau tu.
 
Ujakosea kusema ya moyoni.
Usimtafute tena sasa!
Usimpe kichwa, amekosea sana. Embu vaa viatu vya huyo gal anayemuongelea ndio ungekuwa wewe, how would you feel? Kama mapenzi yameisha kati ya partners ambianeni kwa ustaarabu tu then kila mtu achukue njia yake inatosha.
 
Wewe ni kajinga kamoja tu

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
hahaahahahahahh!
Ila wanaume kizazi hiki pana kazi kweli!
 
mshua unafaa kua comediani[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

HAHAHAHAHAHAGAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAAHAHHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA

HEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHEHHE

HIHIHIIIHIHIIHIHIHIHIHIHIHIHIHIHIHIGIHIHIIHIHIHIHIHIHIHIHIHIHIHIHIHIHIIHIHIHIHIHIHIHIHIHIHUHIHIIHIHIHIHIHIHIIHIHIHIHIHIHIIHIHIHIHIHIHIIHIHIH

HIHUHUUHUHUHUHUHUHUHUUHUUHUHUHHUHUHUHUHUUHUUHUHUHUHUHUHUHUHUHUHUUHUUHUUHUHUHUHUUHUHUHUHUUHHUHUHUUHUHUHUHUHUHUHUHUHUHUH7HUUHUHUHUHUHUHUHUHUHUHUHUHUHUHUHUHUHUHUHUHUHUHUHUHUHUHUHUHUHUHUHUU
 
Kwani ukipiga kimya tu kutatokea Nini? Na huo muda wa kuandika sms Kama gazeti unautoa wapi?
 
Wanaume aina yako wwjinga sana, binti akikutolea nje huwa tunapiga kimya tu sio kumwaibisha na maneno makali
 
Duuh wee jamaa. Bango lote hili huko anakucheka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…