Ni SMS yangu ya mwisho kwake. Je, nimekosea?

Wakuu huyu binti hadi anaingia nae kwenye nilitumia nguvu nyingi sana, wakati huo yy alikuwa dip mwaka wa tatu (clinical medicine) mm nilikuwa naanza first year degree ualimu. Inshort tumepitia mengi sana amekuwa na drama nyingi sana sana siwezi eleza hapa.

Sasa jana baada ya a kuendelea kuonesha drama hii ni sms yangu nimeyomtumia leo asubuhi je nipo Sahihi hapo.

"Sijawahi kukupenda Hilo tambua, hata pesa na vitu ulivyo kula Toka kwangu Ilikuwa ni sehemu ya kufanya uwe sample tu mana nipo nafanya research Yangu juu ya mahusiano.

Licha ya uzuri wako unaosifiwa, sijawah kuwa na hisia na we thus why kipnd chote cha mahusiano sikutaka ngono na wewe.

Your don't deserve my worth, your narcissist girl.

Ushauri wangu acha kuwa feminist itakusaidia sana umri unakwenda Kila siku angalia usije kosa wachumba kisa njaa na tabia za kisimbe,

Bye bye napeleka now report Yangu ya research Yangu juu ya mahusiano ulikuwa sample yangu nzuri sana"
I feel your pains,
I feel your imotions up on the lady,
I feel your sadness,
I feel your suffering,
I feel your stresses,
I feel your lost expenses and expenses incurred in your relationship research....

A gentleman decision..

I wish all the best in your research presentation
 
Hii inaitwa 'sizitaki mbichi hizi'.

Mwisho wa siku mshindi ni yeye, kama alikula vyako na wewe hujamla in every sense wewe ndio umepigwa.

Halafu ukiona mwanamke ana drama nyingi ujue hakupendi pia. Haw dada zetu wakipenda huwa wanakuwa watiifu mno.
Sio wanawake yeyote yule akipenda huwa anatulia hapo.
 
Wakuu huyu binti hadi anaingia nae kwenye nilitumia nguvu nyingi sana, wakati huo yy alikuwa dip mwaka wa tatu (clinical medicine) mm nilikuwa naanza first year degree ualimu. Inshort tumepitia mengi sana amekuwa na drama nyingi sana sana siwezi eleza hapa.

Sasa jana baada ya a kuendelea kuonesha drama hii ni sms yangu nimeyomtumia leo asubuhi je nipo Sahihi hapo.

"Sijawahi kukupenda Hilo tambua, hata pesa na vitu ulivyo kula Toka kwangu Ilikuwa ni sehemu ya kufanya uwe sample tu mana nipo nafanya research Yangu juu ya mahusiano.

Licha ya uzuri wako unaosifiwa, sijawah kuwa na hisia na we thus why kipnd chote cha mahusiano sikutaka ngono na wewe.

Your don't deserve my worth, your narcissist girl.

Ushauri wangu acha kuwa feminist itakusaidia sana umri unakwenda Kila siku angalia usije kosa wachumba kisa njaa na tabia za kisimbe,

Bye bye napeleka now report Yangu ya research Yangu juu ya mahusiano ulikuwa sample yangu nzuri sana"
Hii milio tu inaonesha wewe ndo ulimpenda jambo ambalo sio baya, sema hukutakiwa kuandika hili text lote mtafiti wetu!...
 
Licha ya uzuri wako unaosifiwa, sijawah kuwa na hisia na we thus why kipnd chote cha mahusiano sikutaka ngono na wewe.

Your don't deserve my worth, your narcissist girl.
Wewe bhana, umeona wapi wanaume tuliokamilika tukakosa kupenda ngono kwenye mahusiano? Wewe bhana aidha huyo dem alikubania au ulishindwa kumuomba mzigo subiri waje kukupa muongozo umetuaibisha wanaume!
 
Mwanangu humu unaweza ukaandika kitu kizuri tu ila kisipowapendeza wanawake kuna wanaume humu ambao mimi huwaita MALEFEE, Hawa ni wanaume ambao mbele ya pisi huwaambii kitu wanaweza hata kukupinga au kufanya sifa yoyote kwa njia yoyote ili wapendwe na madem.
 
Eti “tumepitia mengi”, kijana wewe ndio umepitia mengi hapo, mpaka unaandika gazeti, amekula pesa na mbususu kakunyima.

Unadhani hako ka mkwara kako katasidia lolote? Umepiga mkwara uko expect atakua humble arudi kukuomba msamaha. Na kwambia hatojibu hio text na hata akijibu atajibu very short “okay”. Na hapo maumivu utapata mara mbili

Sisi wakulungwa unapomuacha dem hutoi taarifa, yeye atashangaa tu mwana umepotea, ataanza kujiuliza amekosea wapi.

Kifupi ww bado sana mchanga kwny hii tasnia
 
Sijui nna mind-set ya kiwaki, au sijui ni vipi, nikiona mdada kasoma pure Science afu anadate na jamaa wa Arts au social namdharau mara 1.

Labdaa jamaa wa pure science adate na mdada wa arts au social. Kwa wee OP huyo hata Co level zako, ungetafuta walimu wenzio huko.

Dr wa baadae awe na mwalimu? Hell no.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pesa umechunwa na kipochi manyoya hujalaa. Poleee we.
 
Wakuu huyu binti hadi anaingia nae kwenye nilitumia nguvu nyingi sana, wakati huo yeye alikuwa dip mwaka wa tatu (clinical medicine) mimi nilikuwa naanza first year degree ualimu. In short tumepitia mengi sana amekuwa na drama nyingi sana sana siwezi eleza hapa.

Sasa jana baada ya kuendelea kuonesha drama hii ni SMS yangu nimeyomtumia leo asubuhi je nipo Sahihi hapo.

"Sijawahi kukupenda Hilo tambua, hata pesa na vitu ulivyo kula Toka kwangu ilikuwa ni sehemu ya kufanya uwe sample tu mana nipo nafanya research Yangu juu ya mahusiano.

Licha ya uzuri wako unaosifiwa, sijawahi kuwa na hisia na we thus why kipindi chote cha mahusiano sikutaka ngono na wewe.

Your don't deserve my worth, your narcissist girl.

Ushauri wangu acha kuwa feminist itakusaidia sana umri unakwenda Kila siku angalia usije kosa wachumba kisa njaa na tabia za kisimbe,

Bye bye napeleka now report Yangu ya research Yangu juu ya mahusiano ulikuwa sample yangu nzuri sana"

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwanangu humu unaweza ukaandika kitu kizuri tu ila kisipowapendeza wanawake kuna wanaume humu ambao mimi huwaita MALEFEE, Hawa ni wanaume ambao mbele ya pisi huwaambii kitu wanaweza hata kukupinga au kufanya sifa yoyote kwa njia yoyote ili wapendwe na madem.
Kwahiyo hata mtu akiandika upumbavu so long amewasema wanawake ndio wanaume wote wamsupport?
 
Wakuu huyu binti hadi anaingia nae kwenye nilitumia nguvu nyingi sana, wakati huo yeye alikuwa dip mwaka wa tatu (clinical medicine) mimi nilikuwa naanza first year degree ualimu. In short tumepitia mengi sana amekuwa na drama nyingi sana sana siwezi eleza hapa.

Sasa jana baada ya kuendelea kuonesha drama hii ni SMS yangu nimeyomtumia leo asubuhi je nipo Sahihi hapo.

"Sijawahi kukupenda Hilo tambua, hata pesa na vitu ulivyo kula Toka kwangu ilikuwa ni sehemu ya kufanya uwe sample tu mana nipo nafanya research Yangu juu ya mahusiano.

Licha ya uzuri wako unaosifiwa, sijawahi kuwa na hisia na we thus why kipindi chote cha mahusiano sikutaka ngono na wewe.

Your don't deserve my worth, your narcissist girl.

Ushauri wangu acha kuwa feminist itakusaidia sana umri unakwenda Kila siku angalia usije kosa wachumba kisa njaa na tabia za kisimbe,

Bye bye napeleka now report Yangu ya research Yangu juu ya mahusiano ulikuwa sample yangu nzuri sana"
Mkuu akija mpwayungu village hapa kazi unayo aloo, jipange
 
Unajiabisha tu Mzee, mambo kama haya unakausha tu sio kuja kuandika na kuomba ushauri humu utaendelea kuumia zaidi kwa sababu wanaokupa ushauri nao wana majanga yao kwenye haya mambo jifunze ku handle haya mambo kimya kimya
 
Wakuu huyu binti hadi anaingia nae kwenye nilitumia nguvu nyingi sana, wakati huo yeye alikuwa dip mwaka wa tatu (clinical medicine) mimi nilikuwa naanza first year degree ualimu. In short tumepitia mengi sana amekuwa na drama nyingi sana sana siwezi eleza hapa.

Sasa jana baada ya kuendelea kuonesha drama hii ni SMS yangu nimeyomtumia leo asubuhi je nipo Sahihi hapo.

"Sijawahi kukupenda Hilo tambua, hata pesa na vitu ulivyo kula Toka kwangu ilikuwa ni sehemu ya kufanya uwe sample tu mana nipo nafanya research Yangu juu ya mahusiano.

Licha ya uzuri wako unaosifiwa, sijawahi kuwa na hisia na we thus why kipindi chote cha mahusiano sikutaka ngono na wewe.

Your don't deserve my worth, your narcissist girl.

Ushauri wangu acha kuwa feminist itakusaidia sana umri unakwenda Kila siku angalia usije kosa wachumba kisa njaa na tabia za kisimbe,

Bye bye napeleka now report Yangu ya research Yangu juu ya mahusiano ulikuwa sample yangu nzuri sana"
"you're don't deserve my worth.." hapo lazima ajue unatania mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom