Kuwa mwanaume mkuu, tulishaambiwa tuishi nao kwa akili, ikishindikana kabisa tuunge mkono hoja za
Liverpool VPN hakuna kuoa
Ila binafsi mwanamke akizingua nitaenda na biti lake asiponielewa napiga chini.
Nimeshaacha mwanamke nimezaa nae watoto wawili, kaolewa kakaa kwenye ndoa mwaka mmoja kaachika sasa hivi anataka turudiane, nimemwambia haiwezekani kama nikijisikia kuwa na mwanamke nitaoa mwingine lakini sio kurudiana na wewe
Akaniomba tuongeze mtoto na yeye hataki kuolewa tena na mwanaume mwingine tofauti na mimi.
Mimi nikamwambia kwa hiyo utaishi bila mume mpaka lini si uolewe tu, akanijibu hataki, anataka tuongeze mtoto kisha niwe namuhudumia tu kama kawaida ninavyohudumia watoto pia akijisikia na nyege atanitafuta ila anapendekeza zaidi tufunge ndoa ila mimi niwe namtimizia mahitaji yake ya kimwili tu hata kama kuishi pamoja haiwezekani yeye yupo tayari kuishi kivyake ila awe kama mke mkubwa. Maana tayari ana watoto wangu
Anaongea huvyo mimi namchora tu, maana simuamini hata kidogo, nikamwambia nitakufungulia biashara uiendeleze ili hata ikitokea siku nimekufa ulee familia bila shida, akajibu sawa ila nitahitaji unitimizie na mahutaji yangu ya kimwili kwa hiyo mimi nipo tayari kukuacha ufanye maisha yako ila linapokuja swala la kukutana na wewe tu usiniangushe.
Yaani kifupi mwanamke anatumia mbinu zote kurudiana na mimi ila mi mwenyewe ndio sina habari nae.